Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Most definitely .. 😂😂😂 inawezekana zinatajwa hizo tu kumbe mambo yapo hovyo zaidi kwa slums zingineUnaweza kuta mathare na kibera zipo overrated kumbe wana slums zingine za kutisha.