The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Kuna majibu unawapa yanawauma sn cz unapowajibu na wewe unageuka wao yn unakuwa mkenya alafu ndio unawajibu adi raha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha, ninajua vizuri Sana kwamba hawanipendi Hawa jamaa, ni Tony254 na Mkikuyu- Akili timamu pekee ndio wanaonikubali, ninajua jinsi wanavyonichukia, nikifika Nairobi wakinijua watanikatakata vipande vipande na kunitafunia bila hata kunipika.
Wakenya wanavuka chuga kula bata sana tu. Wako wengi kipindi hiki. nairobi hawaitaki haibambi kama Chuga.Arusha ijitahidi inaiondoa Nairobi kwenye ramani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wakenya wanakuogopa [emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa unashauri nini, nipunguze doze au niendelee kukamatia chini?[emoji23][emoji23][emoji23], Kumbuka hawa ni majirani zetu, japo ni wajinga Sana lakini kumbuka kwamba mtu hawezi kuchagua jirani, au tuinunue Kenya iwe sehemu ya Tanzania ili tuepukane na jirani wa hovyo Kama Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna majibu unawapa yanawauma sn cz unapowajibu na wewe unageuka wao yn unakuwa mkenya alafu ndio unawajibu adi raha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
you know that wote tumekopa hela imf tena nyie 1.5x more than us..we choose to build Emds,icu, ct scans ,expand water services ,projects,build new classrooms , help tourism sector (which already is the best in EA in terms of revenues)..mwaka uliopita wamekusanya around $9 billion. Kwa revenues kama hizi mbna wasikope kujenga madarasa [emoji23]
Hawa wajinga hiki kitaifa chao kama ningekuwa na uwezo ningekufukuza hapa EA, hawastahili kuwa huu ukanda, walipaswa wawe West Africa huko kwa wapumbavu wenzao.Sasa unashauri nini, nipunguze doze au niendelee kukamatia chini?[emoji23][emoji23][emoji23], Kumbuka hawa ni majirani zetu, japo ni wajinga Sana lakini kumbuka kwamba mtu hawezi kuchagua jirani, au tuinunue Kenya iwe sehemu ya Tanzania ili tuepukane na jirani wa hovyo Kama Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dozi inapaswa kuongezwa, kuna mda wanaongopa dhahiri ila huwa nawaacha tu cz najua huu uongo wa kuukanusha na kupiga msumari ni joto la jiwe tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa unashauri nini, nipunguze doze au niendelee kukamatia chini?[emoji23][emoji23][emoji23], Kumbuka hawa ni majirani zetu, japo ni wajinga Sana lakini kumbuka kwamba mtu hawezi kuchagua jirani, au tuinunue Kenya iwe sehemu ya Tanzania ili tuepukane na jirani wa hovyo Kama Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawataki kusikia hii.🤣🤣Eti South Africa 😂😂😂😂 unaropokwa tu kama kawaida. Nimekuambia hakuna transplant munaweza fanya hapo bongo bila kutuma tissue samples Kenya au nchi nyingine yenye machine ya tissue typing.
calvat za matofali, ulizia gharama yake, maana halisi ya failed stateWe unaleta facts au upumbavu sasa hapa kuna nini cha ajabu.? 👇View attachment 2045070alafu huna hata aibu wewe mtu mzima hovyo, unnecessary calvat hii kwenye kijiji cha Kisumu 😂😂 Hii inahitaji miaka 15 kufika ilipo Arusha
HakunaNyuma ya hayo majengo kuna jalala la uchafu, ukibisha jikune uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You are a fool this was cleaned kwani MTU akitupa karatasi Leo chini lazima keshow upate lipo hapo?Mimi nikuongopee wewe napata faida gani.View attachment 2045240
Noticed you never think critically very low thinking IQHapa kwenye hii mitaa pia kuna jalala la uchafu, ukibisha jikune nikuripue.
Speak for yourself me where I stay I have a more modern gate than that what about you?Geti la kuingilia shuleni, Kenyan lives like a kid from his childhood to adulthood, living in public compound from elementary school to public graveyard [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lini kwenye stage yenu ya maisha your kid will open up your compound gate for you?
Like this Tanzanian life? [emoji1787]
View attachment 2045256
Wajinga Sana Hawa jamaa, Huwa ninaangalia TV zao hapa YouTube jinsi wanavyofanya mijadala Yao huko NTV, Ktn, Jeph Koinange Live(JKL) na TV stations zao zingine, yaani hadi wasomi wao na viongozi wao wamejaa ujinga, ni Prof. Patric Lumumba na Davidii Ndii na Mukisaa pekee ndio wanaosema ukweli, bahati mbaya Serikali ya Kenya hawawakubali kabisa Hawa watu watatu, ambao kwakweli ndio vichwa hapo KenyaDozi inapaswa kuongezwa, kuna mda wanaongopa dhahiri ila huwa nawaacha tu cz najua huu uongo wa kuukanusha na kupiga msumari ni joto la jiwe tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona hatuyahitaji?Mambo ya kipumbavu kabisa ambayo hamuyahitaji kwa ss.
hahahahahahahahahaha, kenya wanakopa mkopo ili walipe mkopo ONLY IN KUNYALANDKwasasa Wakenya wana adabu na Tz, cc Watz ndio tuna mentality kwamba Wakenya ni maskini wanaotegemea mikopo, na wanaosumbuliwa na njaa na magonjwa, huku kwetu mtaani mtu akikuomba hela ukimjibu Kenya mwanangu, hapo unakuwa umemaanisha sina kitu.
Mkuu hivi huyo Jeff huwa unamuelewaga?Wajinga Sana Hawa jamaa, Huwa ninaangalia TV zao hapa YouTube jinsi wanavyofanya mijadala Yao huko NTV, Ktn, Jeph Koinange Live(JKL) na TV stations zao zingine, yaani hadi wasomi wao na viongozi wao wamejaa ujinga, ni Prof. Patric Lumumba na Davidii Ndii na Mukisaa pekee ndio wanaosema ukweli, bahati mbaya Serikali ya Kenya hawawakubali kabisa Hawa watu watatu, ambao kwakweli ndio vichwa hapo Kenya
Tony254
Hivi TV za bongo huwa zina mijadala kama hii ama ni Wema Sepetu, Dayamondi, Simba na Yanga tu?Wajinga Sana Hawa jamaa, Huwa ninaangalia TV zao hapa YouTube jinsi wanavyofanya mijadala Yao huko NTV, Ktn, Jeph Koinange Live(JKL) na TV stations zao zingine, yaani hadi wasomi wao na viongozi wao wamejaa ujinga, ni Prof. Patric Lumumba na Davidii Ndii na Mukisaa pekee ndio wanaosema ukweli, bahati mbaya Serikali ya Kenya hawawakubali kabisa Hawa watu watatu, ambao kwakweli ndio vichwa hapo Kenya
Tony254
Na mnawafuatilia kweli kweli🤣Mkuu hivi huyo Jeff huwa unamuelewaga?
Naonaga kama anazidisha mikogo sana kwenye utangazaji wake hadi anakuwa kero? Hasa body movements na facial expressions.. Ah totally boring anavyofinya finya na kunyanyua shingo na macho...
Bora yule Dada alieshinda tuzo ya BBC- Komla Dumor..
Mtumwa wako lazima umjue nje-ndani.. Ili uweze kwenda nae Sawa.Na mnawafuatilia kweli kweli[emoji1787]
Mtumwa ndio hufuatilia Master Bradhee.🤣🤣Mtumwa wako lazima umjue nje-ndani.. Ili uweze kwenda nae Sawa.
Karibu.