Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataja taja kuhusu Cities halafu unaweka huu uchafu kweli.? 😂😂😂 Hii City center ya Kisumu ni ndogo mno sijui tulinganishe labda na Moshi town
 
Kisumu ijikaze kwanza ishindane na Arusha, Usijitie tie kama ushuzi wa ngomani 👇View attachment 2045011
Kabarabara kamoja, no interchange anywhere.., Kisumu sio size yenu nyambaff 😂 😂 😂 ., hii Arusha ndio iko nafuu kidogo outside Dar, yet ni sehemu tu😂 😂 😂 😂 😂 ., dogo naona umejimwaya mwaya uwanjani eti?., una nini leo hii?
 
Unataja taja kuhusu Cities halafu unaweka huu uchafu kweli.? 😂😂😂 Hii City center ya Kisumu ni ndogo mno sijui tulinganishe labda na Moshi town
city kumbe ni CBD 😂 😂 😂 😂 ., sawa dogo umenyamba point., next?
 
Kamilisheni your SGR(Old model) ifike Malaba kwanza,. Without loan can't do even single kilometer of your cheap diesel engine railway line, really failed state.
Kamilisheni phase one kisha uje., zero brain, hakuna discussion hapa, 2021 inaisha SGR phase one bado, kasehemu kadogo kanawashinda, wacha kubweka bweka jiangalie 😂 😂 😂 😂 😂 .,
 
weka hapa flight records ya hizo "international airports" unakurupuka humu nikuonyeshe kitu.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 bila Kenya hizo ni white elephants 😂 😂 😂 😂 😂
punguza povu dogo, kuna routes mtazikimbia
 
What are the projects in "LAPSSET", the major and the biggest project was Uganda crude oil pipe line which we took it from you, you are remaining with few roads and Lamu port 3 berths which all together can't exceed $600M.

By the way our Natural gas project is taking off $30B, and Bagamoyo port is likely to be revived $11B, only these two projects worth $41B,
Yaani pengine wajukuu wenu ndio wataviona., SGR tu inawachukua huu mda wote kasehemu kadogo! eti Natural Gas $30B., taifa nzima revenue ata nusu ya hiyo hamuwezi, na hamukopesheki kihivyo, ufukara, hizo projects ziko kwa makaratasi, ngoja pesa itolewe kisha uje 😂 😂 😂 😂 ., Bagamoyo pia msipo mpa mchina haibanduki 😂 😂 😂 😂 😂 ., hivyo vi project unaanika humu, kwa uwezo wa uchumi wenu hafifu itawachukua miaka mia moja msipo kopa, wewe ni jinga type 😂 😂 😂 😂
 
punguza povu dogo, kuna routes mtazikimbia
yaani ni tuta, sasa pia mta.., ndio imekua wimbo! ombi lenyu hilo., sio uhakika ni yale unatamani yatendeke, hayapo na hayatokea 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
weka hapa flight records ya hizo "international airports" unakurupuka humu nikuonyeshe kitu.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 bila Kenya hizo ni white elephants 😂 😂 😂 😂 😂
what????? kenya kq inayotengeneza hasara kila uchwao? nonsense hahahhaha
 
Vipi hivyo vidogo vidogo? zitaje hapa.., kamilisheni kwanza., kwa mfano Dar port bado ni ndogo kwa Mombasa., jaribu mfikishe zilingane kwa kila kitu., tunangoja 25years tuone mtakua wapi, 2020 mliokua mmengoja mmuipiku Kenya ilipita bado nyie mikia kwa Kenya., wacheni kelele na uzembe chapeni kazi hatuwangoji.., #Lamu port., #Mombasa Port oil Jetty 99% done..,
na kwa tabia yenu ya kupenda kuolewa baada ya mwanamziki wenu sasa mtaolewa wote kwa kushindwa kulipa madeni hahahahahahaha
 
what????? kenya kq inayotengeneza hasara kila uchwao? nonsense hahahhaha
Na ndio zinaongoza kwa hizo airport zenu uchwara, pia akina Jambo jet.., meza wembe, ATCL halijui maana ya neno "profit" ni nini, bure kabisa 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hii ni parliament au uchafu, nikiweka yetu hapa c mtajidharau. Vitu vimejengwa na mkoloni mpk leo bado mnavyo, mawazo ya kitumwa sn haya.
Yes hii ndio parliament ya kenya since 1960's sii hi yenyu mmejenga juzi through kenyan architechts
 
na kwa tabia yenu ya kupenda kuolewa baada ya mwanamziki wenu sasa mtaolewa wote kwa kushindwa kulipa madeni hahahahahahaha
Ni taifa moja fukara hapa EAC linalojulikana kusamehewa madeni na kushindwa kulipa madeni hadi ndege zinashikwa, kuna moja lilishikwa na mkulima., sijataja taifa yeyote, nilikua na pita tu, sina ubaya leo, relax 😂 😂 😂 😂 😂
 
unafahamu lengo la kuanzishwa kwake? unafahamu wakenya wanatamani kufanya biasha na atcl?
Kwani ilikua ipeleke taifa fukara hasara?, a misuse of taxpayers money kwa ajili ya wivu tu., yani serikali inakurupuka tu na vi project bila kutilia maanani pros and cons, bora pia na wao wakue na ndege kama Kenya! ona vile ndege linapata tabu 😂 😂 😂 , mnashindana na ndovu kukunya ona mnavyo pasuka msamba kila siku 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom