Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu kimoja lazima ufahamu ni kwamba, sio watu wote ni wajinga Kama ulivyo wewe, punguza ujinga na uanze kujifunza Mambo mapya.

It is only a stupid person can report projects of the country which is not under construction, when this report was released, Magufuli already announced to cancel Bagamoyo port project almost two years prior to this report.
sasa umeongea nini? are u arguing just for the sake or trying to reason? Yaani wewe ni mbu mbu mbu kabisa humu., soma tena pole pole and even quote specifics tuone ujinga wako., 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ngoja tukuwekee baadhi tu ya project zetu.
1)Electric SGR $14B
2)Julius Nyerere Hudroelectricity $4B
3)Kununua midege $1.2B
4)Daraja la Busisi Kigongo $400M
5)Daraja la Tanzanite $390M
6)Kimara Kibaha high way $200M
7)Ujenzi wa Meli Ziwa Victoria $160M
8)Uwanja wa Ndege Dodoma $250M
9)Mradi wa Maji toka L. Victoria $700M
10)BRT (2&3 phases) $400M

These are just few among many.
Taja mradi mmoja tu wenye zaidi ya $700M unaojengwa na GoK
Lappset - US$22 billion
beats all those your shitty projects should I continue?
 
Your fellow Kunyamen want to deceive people that Kenya has roads over 1000Km full tarmac.
It has and nothing can change that ukiwa Na wivu haimaanishi it doesn't have .. Tanzania is a village so hearing Kenya has over 10,000 tarmac road astonishes you
 
Ngoja tukuwekee baadhi tu ya project zetu.
1)Electric SGR $14B
2)Julius Nyerere Hudroelectricity $4B
3)Kununua midege $1.2B
4)Daraja la Busisi Kigongo $400M
5)Daraja la Tanzanite $390M
6)Kimara Kibaha high way $200M
7)Ujenzi wa Meli Ziwa Victoria $160M
8)Uwanja wa Ndege Dodoma $250M
9)Mradi wa Maji toka L. Victoria $700M
10)BRT (2&3 phases) $400M

These are just few among many.
Taja mradi mmoja tu wenye zaidi ya $700M unaojengwa na GoK
Kamilisha kwanza, ndio maana nasema ngoja hiyo miaka 25., kama SGR mmeishi miaka na ni km chache kuliko Nairobi -Mombasa.,
malizeni projects mje tufanye hesabu.., 25 to 50 years.., Kenya ain't waiting 😂 😂 😂 😂 😂 , na Kenya licha ya kukua juu yenu bado inasonga mbele kwa mbele 😂 😂 😂 😂 😂
#25-50years!
 
Wakunya wanatumia nguvu nyingi mno kushindana na Tz, yn Wakenya almost milioni 40 (56-16 children) wanajua kwamba Tz ni adui yao, hivyo wanajitutumua kwelikweli wakati huku kwetu ni watanzania wachache sana almost 2mil out of 45 popln (60-15 children) wanaojua kuna kitu kinaitwa battle btn Tz and Kenya.

Tanzania hamtaiweza mana ni blessed country jamani wakunya, mtajiumiza bure kushindana na Tz.
Nani kakudanganya.., hebu fanya hesabu kwa hii battle tu, how many Tanzanians are here vs Kenyans, ata upande wa kenyan news, mmejaa kuliko wakenya, unajitekenya na kucheka idiot 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., hapa unaweka facts mambo ya domo domo ni kule unakoshinda vijiweni., 😂 😂 😂 ., naona ni ulcers na pressure utapata humu, na bado, tuko wachache laikini tunawatesa kweli., jamii forum haijulikani Kenya kilaza.,
 
Triangular kila kitu muhimu kipo hapo.
Summarize Mwaka wa Battle in one Photo.

View attachment 2044784


View attachment 2044783
Tanzania nchi ya City moja, na City yenyewe CBD ni moja tu.., kisha uswazi kote kote., kelele zenu hazitobadilisha ukweli 😂 😂 😂 😂 , raha tele humu 😂 😂 😂 👇 👇
1639559070382.jpeg

1639559017976.jpeg

1639559037140.png

1639559095812.jpeg

1639559125939.jpeg
 
hawezi kuleta,maana wanavimiradi vidogo vidogo visivyo na tija
Vipi hivyo vidogo vidogo? zitaje hapa.., kamilisheni kwanza., kwa mfano Dar port bado ni ndogo kwa Mombasa., jaribu mfikishe zilingane kwa kila kitu., tunangoja 25years tuone mtakua wapi, 2020 mliokua mmengoja mmuipiku Kenya ilipita bado nyie mikia kwa Kenya., wacheni kelele na uzembe chapeni kazi hatuwangoji.., #Lamu port., #Mombasa Port oil Jetty 99% done..,
 
kumbuka TZ tuna international airports nyingi kuliko kenya na bado tunajenga
weka hapa flight records ya hizo "international airports" unakurupuka humu nikuonyeshe kitu.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 bila Kenya hizo ni white elephants 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kama JKIA pekee inahandle more traffic than all your useless airports combined sasa ni nini mtatuambia?
Have u ever seen flight record ya hizo airports uchwara? utacheka tu, mitanzania na misifa hewa., ni mifukara inaonekana na wanakana., yaani wamevaa surauali yenye imeraruka nyuma, matako yote yako nje na wanapingana, kila kitu kwao kimejianika wazi wazi, ufukara, ushamba na underdevelopment 😂 😂 😂 😂 😂
 
It has and nothing can change that ukiwa Na wivu haimaanishi it doesn't have .. Tanzania is a village so hearing Kenya has over 10,000 tarmac road astonishes you
Huyu c wewe huyu au uliandikiwa, wallahi Wakenya hamna akili
Screenshot_20211215-122358.jpg
 
Back
Top Bottom