Hebu soma hiyo taarifa tena, mahesabu yamepigwa eti Konza, ya Bagamoyo etc., yaani ni zile plans nchi imeweka na sio what is on the ground, alafu bado mmekua nyuma sana, kuna mambo bado hamuna, nje ya Dar inaonyesha ndio mnatoka porini, lazima mjikaze kufika levels zetu, ngoja 25 years [emoji23] [emoji14] kilaza kwa ubora wake! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kulikoni ba mzee, mbona fikra zako ni hovyo hivi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jifunze kushirikisha ubongo unapo soma, sio kukurupuka na haujaelewa chochote.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]