Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu weka hapa miradi mnayofanya na cc tuweke yetu tulinganishe
Fikeni kwanza mahali tupo., kama Mwanza hakuna infrastructure yenye iko Kisumu mbona ni poteze wakati? Tanzania ni Dar tu., na hiyo Dar iko na mwendo bado., ni BRT ndio mnapiga nayo kelele., nyambaff, ngoja 25 years uje tusemezane 😂 😂 😂 😂
 
Fikeni kwanza mahali tupo., kama Mwanza hakuna infrastructure yenye iko Kisumu mbona ni poteze wakati? Tanzania ni Dar tu., na hiyo Dar iko na mwendo bado., ni BRT ndio mnapiga nayo kelele., nyambaff, ngoja 25 years uje tusemezane
Hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar ila kuna infrastructures zipo Dar huwezi kukuta East and Central Africa, unabisha?
 
Na ndio haipo ivyo, Kariakoo sio yote, hakuna ilala, hakuna taifa mpaka uhasibu, hakuna mwenge mpaka mawasiliano, hakuna makumbusho, Ila hapa 👇 kila kitu kipo ndani .. tinny town of yours 😂😂😂View attachment 2043974
Angalia kwa background ya hii video. Utaona 'cbd' mbili kwa background. Upperhill Na CBD kwa background
 

Attachments

  • 44acf87a59e1b5e7b7e1a609ce2b8e12.mp4
    3.5 MB
Hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar ila kuna infrastructures zipo Dar huwezi kukuta East and Central Africa, unabisha?
Fikra za kitoto hizi, wewe ni ichoboy02 😂 😂 😂 😂 😂 ., so kama Dar iko na infrastructure yenye ata Morocco haina mko zaidi yao? unafikiria kimandazi sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., Nai ni bara, Dar ni pwani so?., kuna tofauti., BRT is still categorized as a road infrastructure, ama ulidhani ni njia ya ndege? 😂 😂 😂 Nai has superhighway., still another form ya road infrastructure.., yote ni ya kubeba magari., wewe ni kilaza kweli., tofauti ni bahari na bridges juu ya maji, Nai has a national park, na long flyovers.., on average nai is still way above Dar., huu ukweli unakutesa ba mzee!
 
Fikra za kitoto hizi, wewe ni ichoboy02 ., so kama Dar iko na infrastructure yenye ata Morocco haina mko zaidi yao? unafikiria kimandazi sana ., Nai ni bara, Dar ni pwani so?., kuna tofauti., BRT is still categorized as a road infrastructure, ama ulidhani ni njia ya ndege? Nai has superhighway., still another form ya road infrastructure.., yote ni ya kubeba magari., wewe ni kilaza kweli., tofauti ni bahari na bridges juu ya maji, Nai has a national park, na long flyovers.., on average nai is still way above Dar., huu ukweli unakutesa ba mzee!
Nenda kalilie chooni
 
Nchi ya kanjia kamoja! Only Moyale road is above 500 km! Dodoma beats Nairobi by far! Roads to Mwanza, Arusha, Kigoma, Mara, Ruvuma, Mtwara are all above 500 km!
This an ignorant comment concidering Kenya is smaller than Tanzania and half of Kenya is a dessert so the towns are close together why would one need a 500km road?
 
Angalia kwa background ya hii video. Utaona 'cbd' mbili kwa background. Upperhill Na CBD kwa background
Video ya nn sasa wkt kila kitu kipo summarized hapa au unabisha
JamiiForums-1957243488.jpg
 
Mwanza wakijenga such roads nitag.., yaani mko way below., nje ya Dar ni vituko tu 😂 😂 😂 😂 😂 😂
A taste of Kisumu.., povu ruksa., bado kuna Mombasa, Eldoret, Nakuru, Lamu etc.,

View attachment 2044623
View attachment 2044630
View attachment 2044631
View attachment 2044637
View attachment 2044633
View attachment 2044634
View attachment 2044636
More under construction..,
View attachment 2044645
View attachment 2044644
View attachment 2044643
View attachment 2044640
View attachment 2044638
View attachment 2044639
Watanzania wenzangu naomba tuelekeze macho na masikio yetu huku kwenye huu ushubwada 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

PicsArt_12-15-08.36.07.jpg
E2yUGnwWQAEEq67.jpeg
 
Taja eneo lolote Kenya nitakuonesha Slums.
sasa unataka tufanane eti? Dar yoote ni slums 😂 😂 😂 uswazi umetapakaa kote kote, ni CBD tu inaficha aibu., nje yake balaa 😂 😂 😂 😂
1639546948389.png

Jaribu hizi nione..,
Kilimani..,
Parklands..,
Kitisuru.,
CBD..,
 
Back
Top Bottom