Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kila kitu lazima kiishie vichakani sio sgr sio barabara 😁😁😁😁

PicsArt_12-15-08.36.07.jpg
 
sasa unataka tufanane eti? Dar yoote ni slums uswazi umetapakaa kote kote, ni CBD tu inaficha aibu., nje yake balaa
View attachment 2044667
Jaribu hizi nione..,
Kilimani..,
Parklands..,
Kitisuru.,
CBD..,
Kilimani, Kitisuru, Parklands, CBD zote zipo Nairobi ambapo ndio makao makuu ya Slums Kenya. By the way Parklands hii hapa, hakuna mji ukakosa slums in Kenya
Screenshot_20211215-084846.jpg
Screenshot_20211215-084908.jpg
 
Hiyo inaelekea Busia border, imepita hadi Uganda, southern corridor, Kenya., ulitakaje, unatamani sana ingekua ni Mwanza, jengeni kwenu hatuwangoji 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Peleka haya machozi yako yakaue hili vumbi 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

PicsArt_12-15-08.36.07.jpg
 
Our budget Na yenyu hazitoshani so hatuwezi shindana
We mpumbavu tunataka vitu kwa ground, budget ya kwenye makaratasi haisaidii, politicians wanaweka budget kubwa ili wachote pakubwa, cc tuko pekee etu East and Central Africa ktk kutoa huduma bora za afya ambazo hazipatikani popote pale East and Central Africa na budget yetu ndogo.
 
Back
Top Bottom