Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya hakuna barabara yenye urefu wa 1000km yenye lami, Nairobi Lokichoggio ni vumbi tupu na haifiki 1000km, Nairobi to Mandera ni vumbi tupu, Nairobi to Taita Taveta ni vumbi tupu, wacha kudanganya.
Screenshot_20211214-143622~2.png

Mombasa to Lokichogio through Nairobi and Kitale is 1,300 km. All tarmacked! Next?
 
Wakunya tuliwaeleza JF Dar ipo represented kwa chini ya 35% Yaani bado kuna maeneo mengi sana ya Dar hayajawekwa humu

Pia kuna mmoja wetu akasema Nairobi inaipita Dar kwa photography tu, Dar bado haijawa well photographed mathalan Wakunya wengi wanashangaa kuona kumbe Kigamboni ni one largest district tofauti na walivyodhani.
Wee bichi kidimbwi hebu sikiza hapa vijilima wewe........ maneno yako mengi ya kipuuzi usituambie....Baba levo ni mtu anajulikana saana tz na ni mtu ametembea sana dar...sehemu zote...na ilikuwa mara yake ya kwanza kuja nairobi.... amekiri kuwa yeye huwa mbishi kwel ..lakini hapa imempiga 10 nil....na amekubali kuwa ya klwamba kenya tuko mbeleee zaidi na itawachukua miaka 25... case closed wapi nyundo ya hakimu....booom
 
Baba levo ndio alipiga hii picture? 😂😂😂😂😂

Screenshot_20211212-114613.png
 
Baba levo ndio alipiga hii picture? 😂😂😂😂😂

View attachment 2043783
sasa hebu imagine ikiwa hali ndio kama hiyo...halafu mmoja wenu kasema itawachukua miaka ishirini na mitano dah...hivi basi mko nyuma kiasi gani....
wakati wote huo ...mabishano yalikuwa kati ta mtz na mtz ...haya hebu tuambie sasa ...wewe bichi kidimbwi....kijilima
 
Almost 40% of Tanzania in inhabited (reserved area)
Kwani hizo parks haziko traversed by motorized transport? Excuse za ufala. Unaongea nikama hizo parks zote ziko kwa corner moja ya nchi ambapo hakuna barabara or any human activity at all. 🤣🤣🤣 Au unadhani TZ nikama Canada or Alaska.
 
These guys are way behind, I find Ugandans to be far much better, even with exposure., hawa bana 😂 😂 😂 😂 😂
Majority of Kenyans live in this houses

It's beyond luxury lifestyle for a Kenyan to live in a 1 stand compound, wengi wenu mnaishi kwenye slums and dormitories for high class usifikiri Kenya hatuijui
View attachment 2043520View attachment 2043521View attachment 2043522
si nyie wa tz ndio mmejaa gikombaa mkiuza nguo kuu kuu...hata kwa hizo slums nyie tu ndio mna ishi huko huko
 
Back
Top Bottom