Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Very good summary. πŸ‘
 
Tanzanians have trust issues, mambo ya online wanaonanga wanaibiwa, even a simple mpesa transaction they dont trust it anaprefer cash
Serious?!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Leta longest distance all tarmack toka Nairobi above 500 km!
Actually currently, there's no single town in Kenya that you can't drive to on tarmac road from Nairobi. Mandera ndio ilikuwa haijafikiwa juu ya Wajir Mandera road ambayo haikuwa fully tarmaced but as we speak, tarmacking of the road is in progress. Wacha nikupe distances za Nairobi to all border towns and their states.

Nairobi - Lokichoggio - 1028km - fully tarmarced
Nairobi - Malaba - 450km - fully tarmaced dualing in progress
Nairobi - Mombasa - 477km - fully tarmaced, duallling in progress
Nairobi - Moyale - 777km - fully tarmaced
Nairobi - Mandera - 1026km, Isiolo - Mandera bit under construction, Nairobi - Isiolo bit fully tarmaced
Nairobi - Namanga - 160km fully tarmaced.
 
Mlalahoi wa mwisho kabisa Tanzania yeye na family yake ya watu 6 wanaweza kutibiwa kwenye hospital yoyote Tanzania kwa 1400 za Kikunya kwa mwaka mzima

Mlalahoi wa mwisho wa kunyaland akiumwa ni kufa tu halafu wanabishana na Tanzania ni nchi ipi yenye ahueni ya maisha

 
Isiolo Mandera ni 900km na ni vumbi tupu mpaka 2028 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
Zoom hiyo picha na kila kitu kipo ndani ya picha moja, hizo sio shida zangu ni shida zako wew .. hakuna picha ya DSM inayonyesha kila kitu kijana kwasababu ni kubwa kuliko kwahyo muwe na akili timamu
Povu mtatoa hadi kiama
 
acha upumbavu uliokithiri wewe, Amin angekuwa amechokwa angepinduliwa mapema na majeshi ya Museveni uliyemtaja, na kwa taarifa yako Museven alikuwa sehemu ya jeshi jipya la uganda (UNLF) lililoandaliwa na Tanzania kuilinda na kuitawal Uganda baada ya dalili zote za Amini kushindwa vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…