Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 Eti fikra za wengi wetu kujaribu kuji level na Kenya 😂😂😂 we ni maku nini, kuna kitu gani mnatuzidi nyie mbwa .? Barabara au.? 😂😂😂
Eti hii ndio the best shopping mall in Kimara Neighborhood. 😂😂😂😂😂 Dar jiji la kishamba sana. Kujiburudisha lazima muende town.

screencapture-www-google-com-maps-uv-1639470508251.png
 
Wapi airports (JKIA and Wilson) kwenye hiyo picha?
Where is Thika Road kwenye hiyo picha? Where is Mombasa road kwenyewe hiyo picha?
What about neighboring areas like Embakasi, Pipeline, Imara Daima, South B and C?
Jogoo Road iko wapi? And the adjacent areas like Makadara, City stadium, Hamza, Eastleigh, Majengo, Pumwani ziko wapi?
Where is Eastlands kwenye hiyo picha? The Umojas, Dandoras, Buruburus, Komarocks, Donholms, Kayoles, Ruais and Kamulus ziko wapi?
Where is outering road kwenye hiyo picha?
Where is Parklands, Muthaiga, Runda, Waiyaki Way all the way to Kinoo?
What about northern part of Nairobi? Places like Zimmerman, Roysambu, Kasarani, Kahawa na Githurai ziko wapi?

Endelea kujifariji
Zoom hiyo picha na kila kitu kipo ndani ya picha moja, hizo sio shida zangu ni shida zako wew .. hakuna picha ya DSM inayonyesha kila kitu kijana kwasababu ni kubwa kuliko kwahyo muwe na akili timamu
 
I know it pains but this bile won't change anything. We are building our sgr on loan because we have the capacity to repay.
Capacity to repay? How come the line ended in Naivasha? Was it not supposed to reach Malaba?
If we didn't have that capacity, hatungepewa that loan in the first place. It's not a donation or a grant of any sort that you are accustomed to.
Usually, a person with a good credit score doesn't need to pawn anything to secure a loan. So how come, a country with "capacity to repay" had to use a port as a collateral to get approved? If that's not enough, how do you explain, Kenyan government not being able to secured another loan, to continue building the line to Malaba?
Back to our topic, how is purchasing power of locals connected to building of a railway by the government? Have you now resorted to shifting goals?
In any functional government, purchasing power of the people is directly proportional to the purchasing power of that country. Any short of that is what's called a failed state.
Talking of Jumia and why it stopped operations in Tanzania, can you share with us how those local companies that "drove" Jumia out of business are fairing?
Have you ever heard of this phrase, "if you fail to plan...". That's what happened to Jumia.
 
Wakunya tuliwaeleza JF Dar ipo represented kwa chini ya 35% Yaani bado kuna maeneo mengi sana ya Dar hayajawekwa humu

Pia kuna mmoja wetu akasema Nairobi inaipita Dar kwa photography tu, Dar bado haijawa well photographed mathalan Wakunya wengi wanashangaa kuona kumbe Kigamboni ni one largest district tofauti na walivyodhani.
Hamna kitu hapo, kigamboni haikaribii karen hata kidogo
 
Hakuna kitu kama kuelewa market, you guys have a very small middle class. Many companies are thriving in Nairobi than in Dar. Ikue startup or bluechip.
Asikuambie mtu biashara yoyote ni 90% planning na 10% execution. Kwenye planning ndiyo lazima ulisome soko. Makampuni yote makubwa huwa yanatumia pesa nyingi sana kwenye market research, huwezi tuu kuingia kichwa kichwa.
 
Kwa sasa hii imebakia kukua tu porojo, Knight Frank wameifumania wenyewe ama wamejiumbua wenyewe, ama mnataka uchambuzi vilaza? Kwanza kabisa hao net worth individual wa tanzania pesa wanaweka wapi? inge reflect in your banking sector kama ingekua ni ukweli, hizo banks za tz bado kwa mapato ziko chini ya Kenya tena kwa mbali! eti millionaire 5500 😂 😂 😂 😂 ., sasa wacha tutazame reports za 2021., na pia ya Knight Frank, watanzania mniambie millionaire elfu mbili walipotelea wapi tena?

Sioni Tanzania hapa kwa BIG FIVE WEALTH MARKETS..,
😂 😂 😂
1639470990527.png

Knight Frank 2021., (Logic and Critical thinkers only)-wa vijiweni kaeni kando..,
Mtu afungue hii report, then get the full report usome vizuri.., checkout the overview, uone eti only 8% wa millionaire wa Tz ndio waliporomoka, so kutoka 5500 sasa wamebaki 3700., hao kweli ni 8%?.., Na Kenya millionaires 21% ndio waliporomoka, sasa imebaki 3,327 only critical thinkers., mimi naiamini hiyo report ya juu, alafu mtu aweke report direct ya world bank inayo sema Tz has more high net worth individual than Kenya, anywhere? haupati! so where does Knight frank pick there data??? so how much was Kenya? mbona walisema eti 2009 hapo awali kisha TZ 5500?.., wenye akili pekee
1639472198584.png

1639472418402.png
 
Asikuambie mtu biashara yoyote ni 90% planning na 10% execution. Kwenye planning ndiyo lazima ulisome soko. Makampuni yote makubwa huwa yanatumia pesa nyingi sana kwenye market research, huwezi tuu kuingia kichwa kichwa.
Sasa unataka kutuambia kampuni mingi zimefail market research ndio kwa maana Nairobi ina kampuni mingi kuliko Dar. Retail industry ya Dar bado ni ndogo sana wacha excuse.
 
Kwa sasa hii imebakia kukua tu porojo, Knight Frank wameifumania wenyewe ama wamejiumbua wenyewe, ama mnataka uchambuzi vilaza? Kwanza kabisa hao net worth individual wa tanzania pesa wanaweka wapi? inge reflect in your banking sector kama ingekua ni ukweli, hizo banks za tz bado kwa mapato ziko chini ya Kenya tena kwa mbali! eti millionaire 5500 😂 😂 😂 😂 ., sasa wacha tutazame reports za 2021., na pia ya Knight Frank, watanzania mniambie millionaire elfu mbili walipotelea wapi tena?

Sioni Tanzania hapa kwa BIG FIVE WEALTH MARKETS..,
😂 😂 😂
View attachment 2043607

Knight Frank 2021., (Logic and Critical thinkers only)-wa vijiweni kaeni kando..,
Mtu afungue hii report, then get the full report usome vizuri.., checkout the overview, uone eti only 8% wa millionaire wa Tz ndio waliporomoka, so kutoka 5500 sasa wamebaki 3700., hao kweli ni 8%?.., Na Kenya millionaires 21% ndio waliporomoka, sasa imebaki 3,327 only critical thinkers., mimi naiamini hiyo report ya juu, alafu mtu aweke report direct ya world bank inayo sema Tz has more high net worth individual than Kenya, anywhere? haupati! so where does Knight frank pick there data??? so how much was Kenya? mbona walisema eti 2009 hapo awali kisha TZ 5500?.., wenye akili pekee
View attachment 2043613
View attachment 2043621
😂😂😂😂😂 Report ya serikali kuhusu matajiri wenye pesa juu ya 1 million dollar uliiskia .? Umetoka juzi tu .. 6k+ people mzee we endelea kuhangaika na data za kupika
 
Back
Top Bottom