Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mama e slum mpya?
Kenya nzima imezungukwa na slums na ndiyo maana hawataki kupiga picha maeneo wanayoishi raia wa kawaida kama hawa wa humu jamii forums, utakuta anapiga vipicha vya CBD wanabadili kila upande na ukikuta kapost residential ujue ni za foreigners.

Wakenya ni wachafu sana mkuu, kama wakiachiwa wakae pamoja na foreigners basi hayo maeneo yote yatakuwa machafu kama wanapoishi majolity.
 
Twende mwanza kwa kina ichoboy01 mjaluo muarabu koko🤣🤣🤣🤣
images (5).jpeg
 
Kenya nzima imezungukwa na slums na ndiyo maana hawataki kupiga picha maeneo wanayoishi raia wa kawaida kama hawa wa humu jamii forums, utakuta anapiga vipicha vya CBD wanabadili kila upande na ukikuta kapost residential ujue ni za foreigners.

Wakenya ni wachafu sana mkuu, kama wakiachiwa wakae pamoja na foreigners basi hayo maeneo yote yatakuwa machafu kama wanapoishi majolity.
Eastlands ni ya foreigners ausio🤣🤣🤣
 
Taja eneo lolote Kenya nikuwekee slums, hakuna sehemu hata moja Kenya ikakosa Slums, mpk ikulu pembeni yake kuna ma slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hasira hizi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Eastlands ni ya foreigners ausio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaongelea Eastlands a.k.a the home of biggest Slum? Ukibisha niambie niianike hapa, vipi unabisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani mkunya ukimtajia neno slums basi anakosa raha kabisa, vumilieni tu na nyinyi cku moja mtakuwa kama cc kwenye inclusive economy.
 
hichi ndio kijiji wanafananisha na arusha na lake victoria iko pua na mdomo😂😂😂

Bongolala, there's something called Kisumu County. Hiyo article inazungumzia kisumu as a county which starts at Nyando near the border with Homabay County and stretches all the way to Maseno near the border of Vihiga County
 
Unaongelea Eastlands a.k.a the home of biggest Slum? Ukibisha niambie niianike hapa, vipi unabisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu twende battle ya Eastlands na sehemu yeyote dar kando na CBD na kariakoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bongolala, there's something called Kisumu County. Hiyo article inazungumzia kisumu as a county which starts at Nyando near the border with Homabay County and stretches all the way to Maseno near the border of Vihiga County
Kisumu imezungukwa na ma slums kushoto kulia, unabisha?
 
Ebu twende battle ya Eastlands na sehemu yeyote dar kando na CBD na kariakoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuambia hivi Eastlands ni the home of biggest Slum unabisha niianike hapa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom