joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mungu ndiye aliyeifanya Tanzania na watu wake kuwa Special.[emoji23][emoji23][emoji23], hawa watu wanajifanyanga special sana na vile hao mahomo wamejazana kwao mpaka their top celebs
SindioUnajua unachokiongea au unaropoka tu na wewe uonekane unaijua Dar.
[emoji23][emoji23]Anaitwa Baba Levo. Jamaa anachukiwa sana na mataga kwa kusema ukweli.Kimara yao nikama Posta yetu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Dar ni ngumu sana hata upate malls kwa neighborhood.
Na bado maskini wakutupa๐คฃ๐คฃMungu ndiye aliyeifanya Tanzania na watu wake kuwa Special.
1)33% ya soft water bodies duniani ipo Tanzania(Nyasa, Tanganyika and Victoria lakes)
2)Ardhi yetu imejaa kila aina ya madini
3)52% ya ardhi yetu, sawa na ukubwa wa nchi ya Kenya, ni mbuga za wanyama
4)Zaidi ya hectars 14M zinafaa kwa kilimo.
5)Gas asili ikiwemo gas adimu ya Helium ipo Tanzania
6)Amani na upendo hatubaguani
7)chakula kwa wingi
Hio ya Guangzhou hata nilikua nimesahau, unajua safari ya Mara moja kwa wiki ni rahisi sana kusahaulika. ๐๐๐๐Hivi Guanzhuu na Mombay wapi ni mbali?[emoji23][emoji23][emoji23]
Enyewe Dah Hanna kitu this guys are frauds every day I walk to new places in Nairobi I always tend to cement that factAll the pictures you have posted are summarized by this one aerial view shot.
View attachment 2040829
Ukweli wauma. ๐๐๐[emoji23][emoji23]Anaitwa Baba Levo. Jamaa anachukiwa sana na mataga kwa kusema ukweli.
manzese hii hapa baada ya kuzoom ww na mzungu nani mwenye akili๐คฃ๐คฃLeo tuko manzeseView attachment 2041360View attachment 2041361
Manzese hii hapa kwa 3D wachana na hio yako 2D.manzese hii hapa baada ya kuzoom ww na mzungu nani mwenye akili๐คฃ๐คฃ
View attachment 2041399
Wapo lakini kwenye jamii asilimia kubwa hawakubaliki tena sanasana kwenye mikoani (bara) ila huko pwani naona kama wameanza kuchukulia poa lakini bado jamii ipo mstali wa mbele kuzui huo usodomaTz ndio hakuna gays kwani? Ebu uliza ichogal[emoji23][emoji23] hizo umbea zake siziamini
Masikini anayekulisha, bila yeye mnakufa kwa njaa Kama wadudu[emoji23][emoji23][emoji23]Na bado maskini wakutupa[emoji1787][emoji1787]
Ook, nimekuelewa, hilo tatizo la kusahau ndio Ugonjwa wenu mkubwa huko Kenya, Jommo Kenyatta aliwaibia lakini bado mkamchagua mtoto wake azidi kuwaibia[emoji23][emoji23]Hio ya Guangzhou hata nilikua nimesahau, unajua safari ya Mara moja kwa wiki ni rahisi sana kusahaulika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo picha ya 1997 mnaweka isaidie nini?Hii picha mwenyekiti ichoboy uitunze sana hii inajibu kila swali huko mbele.
Kwani bila kuichafua hii picha ukiipost kama ilivyo utakufa.? ๐๐๐, Hehehe umeiona Ubungo hiyo inavyoumiza.? Najua hii picha umeichafua Ili Ubungo isionekane.. kindly post picha ikionyesha uhalisia before nikuumbueManzese hii hapa kwa 3D wachana na hio yako 2D.
๐๐๐ Dar ni kijiji kubwa na CBD ndogo imebanwa kando ya bahari.
View attachment 2041408
Hii ni sgr want to see commuter train stations
Yeah Ni Nairobi 1997Kwanza umekubali hii ni Nairobi? Hivyo vighorofa viwili vitatu unavyovitaja vipo humu fanya ku zoom au nenda kalie kwa mama Ngina[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2041241