The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Your wish is my command. Ndio hii nimeizoom, ama unataka nizoom zaidi?zoom sasa basi picha imepigwa km 20 kutoka juu 😂😂😂
hii ndio munaita density ya upper hill au kwajina lingine CBD 2 😂😂😂
View attachment 2041177View attachment 2041178View attachment 2041179
Hehehe Nairobi has more paved roads than entire tz.
Ghorofa moja linaweza pigwa picha kila engo halafu inapostiwa humu.Tushai save mkuu, huwa wanapiga vipicha vya upande upande kujifanya wapo vzr, eti wanataka kushindana na Dar interms of development wkt ka Nairobi kenyewe ni ka tiny hata mkononi hakajai![]()



Hawawezi. Air Tanzania ikienda mbali sana hii dunia ni India tu. 😂😂😂 Kama safari ya Nairobi pekee walifurahia nikama wanaenda London. 😂😂😂Can your airline even?View attachment 2041258
hehe......Uswazi slums never ending
I can see you are talking about yourselves.Ghorofa moja linaweza pigwa picha kila engo halafu inapostiwa humu.![]()
Hiyo ya chini inakaa sijui mashine ya vile viredio vya zamani.Asante sana, ss tuangalie wapi kupo developed kati miji hii miwiliView attachment 2041231View attachment 2041232



Si alikuwa anataka nizoom, that's exactly what I have done to him😂😂hehe......Uswazi slums never ending
huko saut Africa kwanini hawaendi?Hawawezi. Air Tanzania ikienda mbali sana hii dunia ni India tu.Kama safari ya Nairobi pekee walifurahia nikama wanaenda London.
![]()

Kalilie uhuru park na venye mchina ameharibu.I can see you are talking about yourselves.




Uhuru Park inakuwa renovated. Nyinyi kwanza hata hamna recreational parks in your country 😂😂Kalilie uhuru park na venye mchina ameharibu.![]()
Bro zimekua ni ndoto zangu za mda mrefu sana kubadili narratives kuhusu Dar, nasubiri DJI yangu nikiishika mkononi nitakua nikipiga picha za juu za maeneo mengi na huu Uzi utakua wa moto sanaNakwambia hivi mkuu sisi Watz kwenye suala la picha za kuitangaza nchi bado sn, media na bloggers wengi bado hawajaamka, tumeiachia serikali na wazalendo wachache ila amini kwamba mkuu huu uzi na Jamii Forums kwa ujumla umeamsha watu wengi na ss tegemea mambo mengi mapya nchi hii.
Kwa mfano tu kariakoo ya ss ina ghorofa nyingi mno zinasimamishwa ambazo ni office and residential towers ila picha ndio hivyo tena, tunaweka humu picha za zamani sn.
Maeneo mengi yana muonekano mpya lkn picha ndiyo hakuna, hizo ghorofa za over 20 zipo nyingi zimesimamishwa lkn mazoea ya picha nchi hii bado sn, hawa mbwa humu wamemaliza picha zote mpk mpya wkt cc hata 1/4 ya Dar hatujaimaliza.
Zoom tena.
Wanapoteza muda wao kutengeneza picha mbovu, ona hapa eti wametengeneza hii picha wakijaribu kuharibu muonekano halisi wa eneo, hapa chini nimeweka picha yao waliyoitengeneza na ile halisi, wakunya cjui kwnn wana chuki na Tz namna hii.Ghorofa moja linaweza pigwa picha kila engo halafu inapostiwa humu.![]()
Tahira sana huyo jamaa anafkiri anaweza kuijua DSM kwa google tu 😂😂, halaf inaonekana anatamani maeneo yasiendelee kabisa yaniHuyo Dar inamsumbua sn, hajawahi kuijua na hatokaa aijue cz ni much know sn, juzi kaweka picha ya Buguruni aki claim ni Ilala kisa aliingia Google akaona Buguruni Ilala![]()