Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kwani wanapendelewa au ni formula ya mgawanyo ndivyo ilivyo? Wewe lalamikia fomula sio kulalamikia anaefuata fomula.
Wacha upuzi...kama unaona ni sawa basi mirembe inakuita, huwezi fananisha hii serikali na yoyote iliyo pita , kwa ground mambo ni mbaya sana ww piga domo tu humu
 
Wacha upuzi...kama unaona ni sawa basi mirembe inakuita, huwezi fananisha hii serikali na yoyote iliyo pita , kwa ground mambo ni mbaya sana ww piga domo tu humu
Of course ni sawa kwani wewe umeona Ubaya gani tuanzie hapo kwanza isije kuwa chuki zako ndio mbaya maana huko ground hauko peke yako πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe ni jengo moja tu ndio limemis kwenye picha.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Onyesha Prism Tower in that your picture.
Onyesha Parliament Tower
Onyesha CBK Tower
Onyesha Hazina Tower.
Onyesha Upper hill Chambers
Onyesha KCB Tower
Onyesha UoN Tower
Onyesha Britam Tower
Onyesha UAP Tower.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…