The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Tony huwezi kumfananisha na hawa viazi wa kikenya wa humu wenye mentality ya kitumwa kwamba kuongea broken ndiyo umesoma na una maisha mazuri, Tony msomi na anayejitambua, huwa anasimamia anachokiamini co hawa wasenge wa kibera ambao wanaoneana haya kuambiana ukweli.Alafu bro Tonny ni mtu mstaarabu na mkweli, yeye hawez lazimisha uongo kabisa,na hata akisema kitu ambacho hakipo sawa na tukamuumbua huwa anaelewa na kukubali pia.. huu utabiri wake kuhusu BRT ulikua ni utabiri wa kweli ona now tunakaribia kumaliza phase 2 na 3&4 phases zitaanza soon mana juzi mama alisema tayari pesa tunayo, nimeona hata moja kati ya vituo vya BRT phase Three ujenzi wake umeshaanza pale kwenye kituo cha treni za umeme posta
Sent using Jamii Forums mobile app


.


