The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Watu wanatoa maneno ya kejeli alafu tukirudisha anatokea mbuzi kupinga wakati naye alikuwa kinara wa kukejeli upande wa pili, nasisitiza huu ni utoto na ni unafki wa hali ya juu sn.
Inafahamika kwamba Wakenya co wastaarabu kabisa, wkt huu uzi unaanza ulikuwa safi kabisa lkn uliharibiwa na Wakenya kwa maneno yao ya shombo, na cc tukaona twende hivyo hivyo wanavyotaka wao, na hata Watz waliojifanya leo wamebadilika wanalifahamu hilo, japo leo wanawasapoti Wakenya lkn najua mioyo yao inauma sana kwa maneno ya shombo ya Wakenya but wanajifanya kuunga mkono kinafki ilihali wanaumia.
Nyumbani ni nyumbani tu hata ufanyaje huwezi kubadili kwa jirani kuwe kwenu, nyie wanafki wachache endeleeni na unafki cc wacha tujivunie kile kidogo tulichonacho mtajua wenyewe kwani c mnajiumiza wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app