Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

fata nyuki utoke manundu...View attachment 2035769
Kuna hizi amphibious tank zilinunuliwa mpyaa 2014...zipo za kutosha.
Zinatembea baharini na nchi kavu.
1489782_Tanks.jpg
 
unajua shida kubwa ya wakenya wao huamini kile wanachokifanya wao ndio technology ya kisasa zaidi kumbe ndio wako nyuma miaka 50 africa hii 😂😂😂😂 we chukua mfano mdogo kwenye SGR ya mchina yani wametandikwa kias kwamba hata mradi wenyewe imebakia kua white elephant
Tafuta admission letter ya Dom uni, will pay your school fees., hii akili duh 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , inability to substantiate, zero understanding of basic economics., ata mambo ya technology unakurupuka tu., ushabiki tu, empty rhetoric, hii Africa Kenya babalao wewe vumilia mtafika lakini sio hiki kizazi kilio fukara kimawazo na kihali 😂 😂 😂 😂 😂
 
pemba town 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

This is what we call kwa "centre" hapa Kenya, yaani ni soko tu., sehemu kama hizi are not even called towns.., ni maduka tu along the roads, business centres ya kijiji, Mitanzania, sitashangaa ikiitwa city hivi karibuni 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom