Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie jengeni majengo cc tunajenga meli, mabwawa, tunanunua treni za umeme, tunajenga BRT all regions, tunajenga madaraja, tunakuza kilimo zen itafaamika nani mwenye akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Just because your city built some three blue towers and the party ended there sasa unatafuta maneno za kujifariji
 
Magufuli kafia Nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20211204-084550.png
 
Dunia ya Kibera sio, hakuna nchi inawachukulia serious ninyi wakenya, onyesha chombo gani cha habari cha nchi yoyote kilichoandika kwamba alikuja Kenya, ninyi bila kutaja Tanzania's celebrities, leaders and tourist attractions hamuwezi kusikia duniani.
Roho imeuma pole bana
 
The first rumor about his public absence was from Tundu Lissu you fool, ni sababu tu Kenya mnapenda kushobokea Tanzania ndio mkai hype but all preliminary leakages were from ex TISS agents
Hatushobokei Tanzania. Tunawapa tu taarifa ambazo vyombo Vyenu vya habari hawapi. Nitajie chombo Chenu cha habari hata moja iliyotoa hiyo taarifa aliyosema Lissu kuhusu afya ya Magufuli
 
What jet ? You think emergency situations mtu huwekwa tu kwa jet na anaenda
Hivi hujui Kuna Air ambulance ambazo zinakwenda Kasi Sana?. Sasa Kama alikua katika hali mbaya Sana, huko Kenya angeletwa kufanya nini?, Hamna uwezo wowote wa kusaidia wagonjwa serious kutuzidi, we are much better in emergency medicine than you.
 
Mbona munaumwa sana na hii elevated section yet hata tukiipunguza iwe hiyo 6km mnataka bado hamtafika hata 10% yake. . BTW, I have the actual design of this road.
The KeNHA website you shared is of the initial design of the road which the elevated section was to end in Westlands making it 8.9km. The final design however, the elevated section ended at the James Gichuru/Waiyaki Way junction in Muthangari/Kyuna/Spring Valley making the elevated section 11.2km. The website is however yet to be updated.
Halafu you can use your Google maps kama unajua kuyatumia kupima.

View attachment 2033127

Here is the scope of works from the design

View attachment 2033129
Cku ukileta ushahidi kwamba ina 11.2km nafunga account JF, costs are there to be minimized and not maximized, eti ilibadilishwa kutoka 8.9km to 11.2km

Na mbn fundi wa ku update google mnaye Mr nicxie c mumtumie huyo ku update?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom