Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani website ya kenya iandike propaganda alaf museme wasafi kwan wao hawana website au??😂😂😂😂

siku ukipata official source from tanzania news nitag nifunge acc 😂😂
Unataka clip wewe punguani?.., huu ukweli unakuuma hadi kwa mishipa😂😂😂😂.., dhibitisha sio ukweli hapa sasa hivi wacha kubweka bweka bure kama mbwa koko😂😂😂😂., Sema hakuna interview iliyo fanyika Wasafi FM na hakusema vile, na kama ni ukweli funga account jf😂😂😂😂😂., ni uchungu lakini zoea tu bro, naelewa maumivu namna hii😂😂😂😂😂..,
 
weka clip nasubiri kumsikia baba levo 🤣🤣
 
Mimi i was banned for one month sababu ya kureport hapa jamii forums kwamba magufuli amekufia Nairobi Hospital. All my threads kuhusu hio topic zikafutwa pia. [emoji23][emoji23][emoji23]now jokes ni kwa moderator na wadanganyika at large. He is dead.
Walidanganywa kama watoto bana, these ones rely on propaganda and hearsay, they can never think outside their boxes[emoji1787][emoji1787]
 
www.tuko.co.ke ndio source yako 😂😂 nimecheka sana leo aloo umefanya walau siku yangu imekua na furaha
 
Unadhani baba levi ndio wa kwanza kukubali Nairobi [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…