Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani unadhani ni kwanini serikali yenu inashindwa kujenga hata 1km za sgr kwa pesa zenu ....hiyo ni elimu ya kweli ,maana yake uchumi wa kenya 80% nikwaajili ya manufaa ya mabeberu na 20% ndiyo kwa maslai ya wakenya
Wacha mdomo leta facts hapa wachana na hearsay, hapa umereason kama mtu wa pp2
 
With a Amref air ambulance and died, kumbuka when he died we reported here mkatuita roho mbaya, while we spoke the truth[emoji2297], alafu wewe ni typical bongo dude, unajaribu kuppteza wenzako with fake pics
Mimi i was banned for one month sababu ya kureport hapa jamii forums kwamba magufuli amekufia Nairobi Hospital. All my threads kuhusu hio topic zikafutwa pia. [emoji23][emoji23][emoji23]now jokes ni kwa moderator na wadanganyika at large. He is dead.
 
Umeongea kwa hofu mno, Wakenya mko desperate sn na Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
who is william osoro🤣🤣🤣🤣😂
Tembelea wasafi radio ukajuzwe kikamilifu, full interview, inauma lakini zoea, wageni kutoka nje ya EAC na sasa wenyeji wanakiri ukweli😂😂😂😂., Usijitie hamnazo na msambazaji taarifa., Kamnyonge kakako aliewaumbua nyie wenye wivu na kiburi😂😂😂😂😂
 
Sasa hii eti ume respond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umekaukiwa na mate kweli, hauna lolote, umeteseka!, lala ba mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo ndo umenijibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is what a typical ward in Nairobi hospital looks like:-


This is what a typical VIP ward in Nairobi Hospital looks like - where Magufuli was:-



You can continue sharing fake photos if they make you and your fragile ego feel better though.
 
Eti Baba levo kasema🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mi mwenyewe nimecheka kinoma!!!!This baba Levo malaya wa mitandaoni mnaweza mkampa elfu 10 inamtosha!!!Ndo shida ya jobless unadandia kila kitu ilimradi tumbo lijae mara siasa mara kafungwa mara muziki mara chawa kuna ambavyo anaongea humo ni vitu ambavyo hata havipo!!!Dunia ya leo iko kiganjani utajifichia wapi??!!!Uongo utadhihirika tu ni uongo tumeni hivyo vitu anavyozungumzia humu tuvione ili tuamini!!! flyover ya km 12 Mwenge Tegeta 😀.Baba Levo next to Nabii Tito 😀.
 
When we were tweeting RIP CCM fanatics on twitter were engaging us in a war of words, atleast the truth came to light
 
You will never kill our spirit kwa hizi cheap propaganda!!! Forget about it!!!.
 
Na ukiambiwa ulete ata ushaidi wenye utata huna!![emoji848][emoji848][emoji848]
Wacha machungu na matusi. FACT ni kwamba jpm, jemedari wa watanzania alikufia Nairobi hospital.
Ww huna tofauti na vilinge vya wanawake wapiga umbea sasa umesahau humu tupo wanaume katafute wenzio upige nao umbea mana wao hawaitaji ushaidi...
#hiki sio kijiwe cha wenda wazim kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…