Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zero facts ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ., unalazimisha fikra zako.., in Tanzania, ni Kenya, Waarabu na wahindi tumeiteka, ukiongezea na CCM., nyinyi wengine makajamba mpo mpo tu, mmezubaa., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Kenya mmewekeza sh ngapi ndani ya Tanzania.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Magufuli alikufia Nairobi hospital. It is a fact you will never change.
 
zile shule za wasichana kwa kila mkoa mmoja zinajengwa soon

kuna yake madarasa zaid ya 12,000 za shule za msingi kwa fedha za IMF, na kuna hizi shule mpya za sekondari (secondary & high schools) kwa fedha za WB..
kwenye suala la shule, hapa tumewaacha mbali sana.. wasijaribi kuleta debate kuhusu hili humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ