Bwawa la nyerere ndiyo mkombozi wa kweli msijidanganye na gesi wanaokwamisha ilo bwawa wanaweza kuwa ni pamoja na wadau wa gesi maana umeme wa ilo bwawa utasababisha mafisadi wa gesi kushindwa kupandisha bei watakavyo kwa sababu watu watatumia umeme kupikia hivyo nyinyi msio elewa siri ya hizi figisu bora mnyamaze kuliko kusema umeme wa maji siyo wa uhakikaKama Ndege Zimekuja and they are kore costful ..treni hazitasumbua kuja..Issue kubwa ni wamalizie hilo daraja kipande kilichobaki..na kipande cha kuelekea port
then
Wa resume construction of Kinyreze 1 Extension 185 Mw
Wa proceed na kutafuta mkandarasi wa Kinyerezi 3 600mw na Kinyerezi 4 450mw...we cant be depending on hydro..wakati picha tushaanza kuliona..we need more electricity that is no water dependent..
[emoji479]Wazee wa movie naona series
sci-fi,drama, nzuriView attachment 2030478View attachment 2030479View attachment 2030480View attachment 2030481View attachment 2030482View attachment 2030483
Wewe unastahili kupenda tom and jerry[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuSizipendi lkn the 100 nimeifuatilia
Mpaka mwisho
Huwa nawashangaa sana watu wakiongelea umeme wa gesi mbele ya umeme wa maji.Bwawa la nyerere ndiyo mkombozi wa kweli msijidanganye na gesi wanaokwamisha ilo bwawa wanaweza kuwa ni pamoja na wadau wa gesi maana umeme wa ilo bwawa utasababisha mafisadi wa gesi kushindwa kupandisha bei watakavyo kwa sababu watu watatumia umeme kupikia hivyo nyinyi msio elewa siri ya hizi figisu bora mnyamaze kuliko kusema umeme wa maji siyo wa uhakika
Picha la kutisha, wasije kusema hatujawaambia tu.Magufuli City coming up nicely [emoji7][emoji7][emoji116]
Hao ni wasen****ge original ....overHuwa nawashangaa sana watu wakiongelea umeme wa gesi mbele ya umeme wa maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi makusanyo ya tozo kwa mwezi ni sh ngapi?japo yapo mengi mazuri anayafanya kama hizi 1.3tr za IMF,
Na washafeli tayari, jemedari alituacha pazuri kiasi so ni lazima huu mradi uishe watake wasitake, pia SGR lazima iishe.Hao ni wasen****ge original ....over
Ni team mafisadi wanataka kuwanufaisha mabeberu wanao miliki gesi kwa kumilikishwa na fisadi kikwet ,sasa bwawa la umeme litasababisha washindwe kutuuzia gesi kwa bei ya kifisadi ,
Ni mbabaishaji yule ni kama Februari tuu.kikwete anaonekana ni mpenda sanaa na michezo kwa ujumla kiasi cha kwamba kwenye awamu yake kulingana na kuonekana anapenda michezo tungetegemea ajenge kiwanja cha michezo hata kimoja,
Thank youhizi picha ni kali
Hatari ni vijimikataba wanavyo ingia kama vile vya software ni hujuma kwa tanesco ,ukivitazama hivyo vimikataba utagundua ni endelevu wanaendelea kuchuma day and day kama mikataba ya umeme iliyopita ilivyokuwa ,pia wanaweza wakaingia mkataba na watu wa gesi kwenye ujenzi wa ili bwawa ili mafisadi wa gesi waweze kuwa na mkono kwenye huu umeme wa maji.....hatari ni kubwa sana tena ni realNa washafeli tayari, jemedari alituacha pazuri kiasi so ni lazima huu mradi uishe watake wasitake, pia SGR lazima iishe.
Unajua viongozi wengi pale CCM hawako kitaifa kabisa wapo kimaslahi yao binafsi, waligeuza misingi ya CCM kutoka ya kijamaa na kuwa ya kinyonyaji, CCM iligeuka maala pa kuchuma, ss jemedari alikuja kuwakumbusha na walianza kumuelewa kdg but kifo chake kimewasahaulisha misingi wameanza kugombania mali, shida ni kwamba wametukuta Watz wa ss ni modern na tunaojielewa hivyo hawawezi kufanya upuuzi wao waliozoea ama wakilazimisha patachimbika.
Sent using Jamii Forums mobile app
We dada yan nionee wivu iko kiferry uchwara!Wivu wenye viwango vya mass
Ulitegemea akuambie hizo picha ni mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thank you
Ukiangukia pua ndio unajua kuthink critically?foolHio bank ingelipa tax, ingeleta kazi etc think critically
@Tony254imagine Tanzania is the biggest EA country with lowest debt to GDP ratio [emoji6]
Even Tanzania's pigs can't be treated in Kenya, your hospitals are very inferior.Like seriously how does a whole Tanzanian president die in a Nairobi slum hospital [emoji23]