Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unajielewa wewe.? yani mtu ni omba omba hiyo nauli atatoa wapi.? Residential permit atapata wapi.? Pesa ya kutengeneza passport atapata wapi.? Mbona una uwezo mdogo sana wa kufikiri .?
They are here illegally bongolala. Ila bado tunawapokea na kuwasaidia
 
[emoji1787][emoji1787] kwanini msiwasaidie wakenya wenzenu?

utaratibu wa boda ni lazima uwe na kibali maalum kinachokuruhusu kutoka nchi moja kwenda nchi jirani,tell me kwa upande wenu sheria imekaaje?

au inaacha kuwakagua waremavu smbao kwa mujibu wako unasema kuwa ni omba omba kutoka Tz
 
Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba ni ukweli, Kama nilivyokuambia, Nyerere ndiye mwanzilishi wa hii Sheria, Marais wengine wote waliomfuata baada yake waliona kwamba ni Sheria nzuri na kuendelea kuitumia, Kama Samia ameona kwamba haifai na ameiondoa bila hata kushirikisha bunge basi tunamtakia kila la kheri katika uongozi wake, lakini sidhani Kama Samia ana busara kuwashinda watangulizi wake wote.
 
Mkuu Tanzania will never be the same again, let be prepared for the worst", nafasi ya urais ni kubwa Sana kwa Samia Suluhu, hana uwezo nayo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]apo mkuu ..inaonekana kama akili ni kbwa kuliko unavo jiaadress
Mkuu akili ya kujieleza na kujibu mtihani ni vitu viwili tofauti, ila sikutegemea kupata division 4, sijui nini kilitokea nilitegemea japo division 3, anyway acha maisha yaendelee.
 
Tatizo la unplanned linajulikana but some towns have tried and Tanga tops in Tz in good planning compared to all those mention
Kama Tanga Ndio mfano wa kuigwa Tanzania Basi nchi inahitaji msaada mkubwa kwenye urban planning.
 
Dead on arrival, at least ungenionyesha horizontal infrastructure, nyumba kama hizo Kenya zinajengwa na mtu mmoja πŸ’©πŸ’©πŸ’© Nigeria alaro city chini ya tatu city parent company. It's not too late to ask for helpπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Oya Coco reborn naskia uliiulizia huu mradi leo πŸ‘‡ . πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mbona hunijibu.? Dege eco village Kigamboni sindio hii au .?
 
Hamna lolote hapa! You’re just patronizing Tanzanians on this thread. Kama Tanga Ndio role model ya miji yote ya Tanzania kwenye urban planning basi ni wazi kuwa hii nchi ina Tatizo kubwa sana.
 
Kwenye familia ambazo mama Amesoma lazima utaona prosperity. Kuanzia kwenye maisha ya wanafamilia na elimu Kwa watoto. Mama akisoma kuna uhakika mkubwa wa maendeleo ya nyumba Kwa ujumla!

Hii Ndio trend inayoonekana Marekani Kwa sasa.
 
Busara katika hili swala inaonekana pale viongozi wanapotatua tatizo badala ya kuwakomoa watoto Kwa kuwaachisha shule. Sijaona busara yoyote iliyofanywa na viongozi wa nyuma na hata Samia bado hajalishughulikia swala Hili ipaswavyo. Ni jinsi gani tunaweza kupunguza rates za mimba za utotoni? Predecessors wa Samia walichagua kuwatia hofu watoto Kwa kuwaachisha shule lakini bado maelfu ya wasichana waliendelea kupata mimba wakiwa shule. Assumption yao ni kuwa mimba za utotoni ni fault ya watoto peke yao. Lakini this issue is complicated than that. Hivyo, tunafanya nini haswa? Hili ndio swali ambalo Serikali ya awamu hii inapaswa kujiuliza.
 
Tukiendelea kucheka na ujinga wa bandari ya bwagamoyo, tutafika huku
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mbona sasa umeenda kuleta miradi ya Nigeria.? Moyo inakuuma kinoma.. alafu bado ni uchafu unaotaka kulinganisha na Dege eco village unakichaa.? Render πŸ‘‡ . Reality πŸ‘‡ . Mradi una apartments 7k, Executive villas 68, twin villas 88, detached house 188 .. shule, vituo vya polisi hotels n.k pata maelezo zaidi πŸ‘‡ . Mradi unafanywa kwenye eneo lenye ukubwa wa 300 hectares .. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alafu uje umlinganishe na huo uchafu wa Lagos πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huu mradi una ukubwa sawa na eneo zima la .. HUNA HATA AIBU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama Tanga Ndio mfano wa kuigwa Tanzania Basi nchi inahitaji msaada mkubwa kwenye urban planning.
Mkuu sijajua arguments zinapingana zenyewe Kwanza kuna mkunya anasema kipawa ward ni slum lakini kipawa ilivunjwa ndipo ilipo airport terminal 3 . Angalia kule kurasini palibana sana wamenunua watu pamevunjwa kuna project ambazo ziko integrated na bandari zinaendelea . Angalia renovation ya mbagala kuu kuanzia barabara na kila kitu . Angalia kiwalani hadi buza , tandika na sehemu za tandika kuna tarmac road mitaani kabisa tena na taa za barabarani . Same to vingunguti kule inakopita reli walikua wananunua nyumba kama walivyofanya kurasini. So kuna improvement kubwa kwenye urbanization . Changes haziwezi kua kama mushroom yaani overnight tuzune uyoga
 
Hapo unampigia mbuzi gitaa mzee wangu, huyo hawazi kukuelewa anachotaka ni kwamba kwao ni bora kuliko kwetu, hata kama hajapaona panafananaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Tujenge miji mipya kama wenzetu (Nigeria, Kenya, Egypt, Angola n.k) tuache tabia ya kuimprovise na kuacha miji ijijenge yenyewe, kwa style hii we will never have beautiful cities kwa mahitaji ya muda wetu. Kigamboni hiyo imeachwa sasa inazidi kuvamiwa……baadae ndio utasikia tujenge sasa, gharama za kufidia zimeishakuwa mara kumi ya sasa. Ujuha huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…