Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Samia kampinga Magu juwa kwamba kampinga Nyerere, Joto amekuelewesha vzr usiwe mgumu kuelewa na wewe mwishowe nitakuandikia sign chini kama ninavyowaandikia wenzio.
Hakuna haja ya mimi na wewe kukosana juu ya hili jambo. Kama unaona hatuwezi kudebate kiheshima wewe wacha mimi niendelee kudebate na joto la jiwe.
 
Mzee Coco reborn na bwana Nicxie tukiachana na Dom hii 👇old Dom CBD kuna Dodoma hii 👇new CBD underway kuna huu mradi wa makazi ya watu 1k houses
halafu kuna huu mradi wa watumishi housing mradi wa nyumba 120, na kama unavyojua individual development level ya Dom sio ya kupima mzee. 👇 . lafu kuna upcoming Dom administrative city au wenyewe tunaita Magufuli City . Hayo majengo yote yanayoonekana kwenye renda hapo juu yapo under construction ..
1. Msalato international airport
2. DOM international football stadium
3. Dom indoor Arena
4. Dom international SGR terminus
5. State House
6. DOM outer ring road 112 km
7. Miradi mengine ya barabara ndani ya Dom kibao
Vyote hivyo vipi under construction .. sijui mtaleta mji gani kushindana na Dom ifikapo 2024 ni bakora tu ..
 
Nyinyi uko kenya mawazo huru mliwai kuwa nayo lini?
 
Nashindwa kuelewa wanao shangilia wanashangilia nini?Mzazi anaenda kusoma na asiye mzazi !!wataongea nini! Ikiwa tu mwanafunzi malaya anaweza kuadhiri marafikinzake wote nao wakawa kama yeye[emoji848][emoji848][emoji848]( kuna msemo usemao ukitembea na mwizi nawew utakuwa mwizi) Soon tutambiwa na bangi imepita so wanafunzi wavute mpka shuleni
 
Magufuli akuna sera aliyo anzisha zaidi ya kumempliment ya Mwalim nyerere...wacha uzuz rudi usome alicho andik[emoji1369][emoji1369]
 
Maneno mengi vipicha ni vile vile. Yani kitu Cha maana umenionyesha hapo ni Hilo vumbi kali😂😂 Mimi si hater nakupa fact Dodoma haifai kuitwa hata town Leo nashangaa yaitwa capital city💩💩
 
Hvi Kenya huko uviko 19 umeishaa baada ya kuweka lock down au imewasaidia nn , mpaka mkamuita jpm kinjekitile ebu Tony254 tusadie kujibu maana we ndio mkenya muungwana pekee umu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…