Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Umetishaa mzee jamaa hajui anaishii ulayaa huyoo
 
Ndio maana nikasema Africa tuna kazi nzito, cc tulifanya miaka 10 iliyopita wao wanafanya leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Bro nimecheka sana kwahyo kumbe siku zote hizo hizo jamaa hata barabara za za kulinganisha county zao hawana.. sasa wanasema eti wanatuzid km za barabara za lami πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakuuliza kimoyo moyo "kivipi.? πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe wao mpaka leo wanasafiri wiki nzima njiani
 
Do you know planes..or unakuwa mnafiki
that A220 -300 seats 132 passengers
E190 zenu mnazoleta seats 96 .passengers..na ndo huwa mnazileta mostly....
achana naye hajui kitu huyo ni zumbukuku
 
Hehehehee lile shuzi lililokuwepo pale kipawa ni Slum halisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna baadhi ya miji mipya inaweza kuwa kama vile tena hasa mbezi malamba mawili,stendi ya magufuli imefanya viwanja kuwa juu mitaa ya mbezi,kibamba,kiluvya n.k,sasa kuna jamaa wananunua vile viwanja vya miguu 20-20,halafu baada ya wiki tu anauza miguu 10-10,hapo kama alinunua 20-20 kwa mln 8,yeye atauza 10-10 kwa mln 5,so anapata faida ya mln 2 ila ndio ule ujenzi wa manzese manzese flan
 
Maisha yangekuwa mazuri Tanzania as you want to paint it hamgengukuwa na hao ombaomba in the first place. Na hata hata muwe nao mbona hujiulizi kwa nini wameacha 'asali na maziwa' Tanzania na kuja kutembeza bakuli Kenya?
huku hatutaki omba omba ,huwa tunawafukuza ,njoo dar ujifunze

ukiona omba omba ujue ni mlemavu tena wanzhesabika tena ni nadra sana kuwaona

halafu muache kujazana ujinga hao omba omba mnaosema ni watz ,hiyo nauli ya kuja huko si bora wangefanya biashara ya kuuza uza matunda na mboga mboga,

acheni porojo
 
but i only realize Darslam ni vyumba tu yani structures structures.. Dar has nothing to offer, a very empty city if am so to say. as in, it has nothing tangible.
atleast nairobi is famous, everybody knows nairobi hosts one of the 4branches hq of UN. nairobi again is the african hq for Worldbank and IMF. Toyota african Hq is based in nairobi..

Dar nayo!? toweni ata moja☝🏽

 
Kwani umesikia utakuwa wa Kwanza kuwakana? Wengine walishawakana kitambo sana mbele yako. Mnapenda sana to live in denial
 
Oya Coco reborn naskia leo uliiulizia Dege eco village Kigamboni πŸ˜‚πŸ˜‚ renda hii hapa πŸ‘‡ . Halafu mradi ulifkia hapa, any time soon tutaumalizia, huu πŸ‘‡ . Umeona tunavyofwatisha renda eeh.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huu mradi ukiisha Mmmh Mtakua nnakua mnakuja Dar kutalii mana ni ulaya kmmae. Heb pata dozi kidogo hii ni vid ya miaka minne iliyopita mradi ulikua hiv πŸ‘‡ . Mradi uko na nyumba 7k huu mradi ukiisha sujui mtapost nini kushindanisha na DSM mana hayo ndio yatakua makazi ambayo huwezi kukutana nayo popote hapa EA
 
Kama hio article moja ya Al Jazeera niliyopost bado haijakushawishi basi tazama hizi hapa.
The East African

na The Guardian

Natumai umeshawishika kwamba mama hafuati hizo sheria unazozungumzia wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…