kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
binti,Kama majengo haya ni kweli yapo Nairobi (kenya) basi acha nisiwe mzalendo kwakweli mmeifunika Dar es Salaam. Ingawa mimi ni Mtz ila majengo haya hapana chezea Wakenya mmetisha
Sent using Jamii Forums mobile app

sisi zote zote hatunaga mda wa kuremba picha ....hatuutaki ufake kama wenuNyinyi zenu hupiga kwa angle zipi
Kiswahili gani unaongea hicho kwanza😀😀Kama majengo haya ni kweli yapo Nairobi (kenya) basi acha nisiwe mzalendo kwakweli mmeifunika Dar es Salaam. Ingawa mimi ni Mtz ila majengo haya hapana chezea Wakenya mmetisha
Sent using Jamii Forums mobile app
what is wrong with the last pic?...the downside part of the flyover looks dirty,dusty and over crowded with matatus and hawkers.....poor nairobi.![]()
![]()
![]()
wapigie na makofi

Kwan uliambiwa mji lazma uwe na flyover ndio unakua mji?????😀😀😀😀😀Bongo majengo marefu lakini miundombinu mibovu majengo yapo shagharabaghara..... Mji haupendezi kwa majengo marefu Bali ni miundombinu dhabiti zikiwemo barabara za kutosha na zenye ukubwa, mitaro ya majitaka n.k... Bongo mvua ikinyesha ni aibu barabara hazipitiki kwa maji.
Aibu nyingine ni kwamba sio tu Bongo bali nchi nzima ya Tanzania hakuna flyover yaani ndio kwanza tumeanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kirusi cha hapa kazi tu kimeanza kuwaingia afrika kwa ujumla😀😀😀😀😀Maji ni mengi mno huwezi kuyazuia kwa mkono
View attachment 551961
Unahakika tuanze street view Dar na Nairobi???? Sema tu!!wakiweka zile aerial view photo shop zao kwa asiye ijua nairobi utajua ni bonge la city kumbe hamna kitu....![]()
![]()
![]()
Ligi ya mabasi na malori ilikwepo kama ulikua hujui waulize wenzako😀😀😀😀Unahakika tuanze street view Dar na Nairobi???? Sema tu!!
Hata hivyo haina haja, naona mmeishiwa mnaanza kupost mabasi na Malori daah! Jikaze tu mtu hufa kiume.
Daah! HaiyaLigi ya mabasi na malori ilikwepo kama ulikua hujui waulize wenzako😀😀😀😀
Habari wanayo waliipata
Again?? I give up!! How many people are coming to Nairobi this season?? It is not December already!!!
enzi hizi zilipitwa na wakati huku Kenya. miaka ya 90's wakati wa Moi. huu ni uzala