Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ndio uthibitishe sasa km hzo sio middle class, zilete baba acha kuruka ruka hapa..naona umekalia kuti kavu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiniletea middle class areas kumi tu natoka jf mimi
Jamani kwani mimi na wewe nani alileta mada ya ya kwamba unplanned settlements zile ni za middle class.? .. naweza kukuletea middle class settlements za DSM hata zaidi ya kumi.. nataka sasa kwanza wewe ulie claim kwamba unplanned settlements ndio watu wa middle class wa Dar huishi humo au ulete makazi ya watu maskini DSM au ukubali those areas are not for middle class na kwamba maskini wa DSM ni bora kuliko maskini wa NAIROBI, then nikuletee hizo middle class unazotaka kuona ili utoke JF..
 
Zilete mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe kuna baadhi ya data na statistics ambazo mnakubaliana nazo! Ila zile ambazo zinapotray Tanzania negatively huwa hazina ukweli wowote [emoji23]
We are living in very interesting times!
Mbona unalia tena kulikoni
 
Nani hutulisha?
 
The best 007 for you who has been singing matofali if you know how to avaluate photos i want you to look at the size of the car in the picture and the size of that block to have a rough idea of the size of those blocks and how big they are the road is still under construction
 
Wanajifariji kwa kutumia picha zilizopigwa kutoka mbali.
Mnataka za karibu ndio zionyeshe tu majumba yaliyo kandokando ya barabara. Hamtaki za mbali zinazoonyeshe jinsi sehemu kubwa ya mji wenu ilivyo. 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…