wewe ni binadamu katika maisha siku zote ukitaka kufanikiwa lazima uishi kwenye uhalisia wako ili uweze kujua zaidi mapungufu yako na kuyacorrect,As long as hunilazimishi maoni yako binafsi/potovu, mimi sina shida na mtu
Jengo la nn ilo
It is an Islamic centre. An Arabic academy dedicated to producing Islamic graduates. They have such campuses in Mumbai, Karachi, Surat and Nairobi. This their Nairobi campus/centreJengo la nn ilo
Poa broIt is an Islamic centre. An Arabic academy dedicated to producing Islamic graduates. They have such campuses in Mumbai, Karachi, Surat and Nairobi. This their Nairobi campus/centre
Maybe Net Addition because some private power plants where switched off..like Symbion100Maw and IPTL40MW ..while we added around 390 Mw..From Kinyerezi 1 (150Mw) and 2 {240mw) (2018Interesting View attachment 2018552
Huwa hatuendi nje ya render.
Endelea hivyo hivyo mkuu huku mnatandukwa 👇
View attachment 2018532
View attachment 2018534
View attachment 2018535
View attachment 2018536
View attachment 2018537
Lkn mpk leo kuna Wakenya wanakufa kwa njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni aibu sana kwa nchi miaka 60 tangu muachiwe na mzungu bado mna matatizo ya umeme na maji hadi mjini kati, bora sisi vigumu sana usikie mambo kama hayo mjini kwenyewe, hutokea tu mara moja moja mitaani.
Lkn mpk leo kuna Wakenya wanakufa kwa njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya hamna akili
Hapo unaweza Dhani unaiingelea Kenya ya US? 🤣🤣Ni aibu sana kwa nchi miaka 60 tangu muachiwe na mzungu bado mna matatizo ya umeme na maji hadi mjini kati, bora sisi vigumu sana usikie mambo kama hayo mjini kwenyewe, hutokea tu mara moja moja mitaani.
Ni aibu sana kwa nchi miaka 60 tangu muachiwe na mzungu bado mna matatizo ya umeme na maji hadi mjini kati, bora sisi vigumu sana usikie mambo kama hayo mjini kwenyewe, hutokea tu mara moja moja mitaani.
Hapo unaweza Dhani unaiingelea Kenya ya US? 🤣🤣
haha una tatizo sehemu we sio mzima na huyo alietengeneza huo uzi AKILI MMEKALIA. naweza kupa takwimu ukashangaa kwa siku miti inyokatwa njombe mafinga iringa mbeya ni nusu ya hiyo miti uliyotaja hapo na bado mvua zina nyesha na maji hujaa mpak mabwawa yanataka kupasuka leo hii kisa bwawa la nyerere linajengwa ndio litasababisha mvua kutonyeshaa.Halafu hilo tatizo mlijitakia wenyewe, huyo mzee aliwarudisha nyuma sana, itawachukua muda mrefu kuamka Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?
Kenya mkikuyu ndiye anayeamua nani awe rais .Nini kinakusumbua raila akikua rais was Kenya? Wewe sio mpiga kura huku so hakuna kitu unaweza amua. Stick to CCM.