The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Mm hapa bado sijaelewa, kwamba wamebadili Airbus kwa Max au hizo Max ndiyo ingizo jipya la mama mana hizo za kwanza zote ni za awamu ya tano.Naona wamebadili order, wameondoa Airbus A220-300 wameweka Boing Max 737
haya baci hii ni kenya kwa ubora wake. hebu leteni ubishi.. hii ni UN na IMFwaTz humu wataamini sana kua nchi yao ni bora sana sana shinda kenya kwa kila kitu. lakini kiukweli ni kwamba kenya ni jangwa lakini keny
hii ni kenya baci kwa ubora wake. hebu leteni ubishi.. hii ni UN na IMF View attachment 2014721 whenever u see anythng black,.. mjue tu hizo ni mi-nchi ya moto ya kuotea mba..... mbali [emoji95][emoji95] less utachomeka wewe mwenye..... mweyewe.. [emoji38]
huyu mshefa kulingana na maongeo yake naona kidogo kiburi inamzidiJpm aliteua watu wajinga sana kwa serikali yake kama huyu makonda. Mwisho wake, wateuzi hao wajinga hawakumshauri vizuri, hatimaye kifo.
https://www.facebook.com/
Umewapiga na kitu kizitoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Source Jamii Forums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watanzania halisi wamechoshwa mataga. Wanataka ujenzi wa sgr amabyo haikamiliki ujenzi na miradi yote ya magufuli isimamishwe mara moja kwa kupoteza pesa bure.
Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma
Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini. Lakini makusanyo kwa mwezi ni kati ya trilioni 1.2 - 1.3 kwa mwezi. Hivyo fedha hazitoshi kuendelea na miradi yote...www.jamiiforums.com
Biggest Navy my foot na huo mkebe? Embu angalia hardware hapo chini.View attachment 2014783Biggest navy in east Africa is looking to expand its fleet.View attachment 2014637
Max zimesharekebishwa tatizo sio muundo bali ilikuwa ni software inayoruhusu ndege kufanya manouvre angani imeshabadilishwa na kupitishwa na FAA. Kila kampuni duniani wanakimbilia kununua hizi ndege maana ni nzuri kibiashara.Tano, Boeing mbili (dreamliner na cargo) Airbus mbili na dash 8 moja.
Tatizo langu ni hizo Max zilizouwa watu mara mbili. Kumbuka hizi Max waliziharakisha ili washindane na airbus neo. Sasa baada ya kuzifanyia marekebisho ni bora tusubiri tuone kama kweli ziko vizuri.
Sasa na hiyo financial district ikianza kujaa mbona itakuwa balaa maana naona crdb tayari kashaweka kitu hapo tunasubiria banks nyingine piaWakunya nawatakia usiku mwema nikiwa hapa New York ya EA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2014697
Mbona umejipemdelea rangi ya over 200bnhaya baci hii ni kenya kwa ubora wake. hebu leteni ubishi.. hii ni UN na IMF View attachment 2014721 whenever u see anythng black,.. mjue tu hizo ni mi-nchi ya moto ya kuotea mba..... mbali [emoji95][emoji95] less utachomeka wewe mwenye..... mweyewe.. [emoji38]
Kalale wewehakuna siku, tangia independence, ambampo
Kalale wewewaTz humu wataamini sana kua nchi yao ni bora sana sana shinda kenya kwa kila kitu. lakini kiukweli ni kwamba kenya ni jangwa sehemu kubwa, lakini keny
HizoBiggest Navy my foot na huo mkebe? Embu angalia hardware hapo chini.View attachment 2014783View attachment 2014789View attachment 2014786View attachment 2014784View attachment 2014785View attachment 2014787View attachment 2014788
na wale investors je ??πππ politicians wa kenya pia ni wazalendoWazalendo wa Kenya hii...
πππππUnamaanisha hawa maskini ama?View attachment 2014052