The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Njia ya treni ya umeme 











































Bundi ni ndege mzuri sanaMama Samia inawezekana hayuko buheri wa afya. Kwenye hii video anashikiliwa na mlinzi wake akiwa karibu kuanguka.

chanjo zimeanza kufanya kaziMbona hamna cha ajabu kwenye hiyo video au watu mnamatatizo ya macho?Bundi ni ndege mzuri sanachanjo zimeanza kufanya kazi
Saa zingine huwa najiuliza mbona mimi hupoteza muda wako kuargue na wewe. Unavyo reason says lot about you as a person. So you've shifted gear from what you were saying earlier about Nairobi kujengwa na wazungu sasa unacgambua picha za barabara.
Bongolala, you are so desperate and stupid at the same time! First, you are comparing totally different pictures? Nani amekudanganya kwamba those footbridges are the same? Nairobi has so many footbridges just in care you didn't know. Thika road alone has more than ten of those, hapo hujaweka barabara zingine.
Lastly, alokuambia barabara za Dar hazina vumbi ni nani? Hizi hapa ni barabara za Nairobi?
View attachment 2013060View attachment 2013062View attachment 2013064View attachment 2013065
Stop being stupid and start reasoning for once!
Wangesubiri kidogo tuone zikoje, kwa pesa ya MAX wangeweza pata airbus na bombardier, kwa kuongezea kidogo.Zimerudi kazini..hazina shida tena as before..Turkish , Oman,Fly dubai wanzitumia sana...na China Aviation wamezipa approval zirudi..sema MAX hazifikk Airbus A321LR au XLR tungechukua hizo

Lakini Mama atakua rais (2025-2035) sa izi anashikilia mitano ya magu. Tumuombee afya njema.Bundi ni ndege mzuri sanachanjo zimeanza kufanya kazi
Kama panafanana fanana hivi au mnasemaje wakuu


Aisee hii picha ni noma wakuu, salute NDINDA wao vi CBD vyao vimekaa kiafrika Africa cc tunaanza kufanana na Dubai


Somewhere in Africa.
Na sasa hivi wamachinga walivyoondolewa miji itakuwa misafi zaidiOne of the cleanest cities in Africa, Dar kama Dar.View attachment 2013106
Max huenda range yake ni kubwa na inawezekana wamenunua hizo waki target specific markets .Wangesubiri kidogo tuone zikoje, kwa pesa ya MAX wangeweza pata airbus na bombardier, kwa kuongezea kidogo.
Wewe ndiyo uoni KIPUSA AFYA MGOGORO bundi yupo mtiniMbona hamna cha ajabu kwenye hiyo video au watu mnamatatizo ya macho?