Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

rwanda tulishamaliza toka 2015 na sasa ni uganda na mambo mazuri yashaanza kuonekana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bagamoyo still lurking around next year ujenzi unaanza majadiliano yako pazuri
 
Ni nini kimechange Dar in those four years? Kujenga elevated road ya kwanza au nini?
hata sijui ni kipi kilichobadilika,

ila bila shaka nahisi majibu yanaweza kuwepo humu humu kuanzia uzi unaanza 2017 mpaka sasa labda ujaribu kuibuka huko
 
huyo ni kichaa
 
hapo mkuu umembana korodani huyo nyang'au ila inawwzekana wakawa wanategemea vitu vingi kutoka nje kwasababu uzalishaji wao wa ndani ni hafifu
 
wanakoelekea ni kufutika kabisa kwenye ramani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…