Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Saa zingine huwa najiuliza mbona mimi hupoteza muda wako kuargue na wewe. Unavyo reason says lot about you as a person. So you've shifted gear from what you were saying earlier about Nairobi kujengwa na wazungu sasa unacgambua picha za barabara.

Bongolala, you are so desperate and stupid at the same time! First, you are comparing totally different pictures? Nani amekudanganya kwamba those footbridges are the same? Nairobi has so many footbridges just in care you didn't know. Thika road alone has more than ten of those, hapo hujaweka barabara zingine.

Lastly, alokuambia barabara za Dar hazina vumbi ni nani? Hizi hapa ni barabara za Nairobi?
View attachment 2013060View attachment 2013062View attachment 2013064View attachment 2013065

Stop being stupid and start reasoning for once!
Hehehehee kapagawa anaokota picha za 90 na zingine co za Dar, tunaanza na hii, ona buga alilovaa jamaa, kijana gn wa Dar anavaa hivi, hii style ya pepekale enzi hizo sijazaliwa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211116-183902.jpg
 
You are so desperate. Hata kwa kuangalia tu, one can easily tell those are two different roads. Picha ya pili uliyoweka iko na underpass (Pangani underpass), picha noliyoweka haina underpass (Langa'ta Road). Meza wembe bongolala
Hehehehee unakataa Langata flyover leo, haya thibitisha kwamba hiyo siyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Picha ya pili uliyoleta ni hii, ona jezi ya Yanga ya mwaka 2000 alafu angalia magali ya pepsi ya kitambo enzi za Mkapa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211116-183811.jpg
 
Picha ya tatu ni hii, nyuma kuna tangazo la tohara, Dar na tohara wapi na wapi mzee, hebu lete picha current za Dar km mm ninavyofanya kwa Nairobi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211116-183934.jpg
 
Picha nyingine umeweka ni hii cjui ni wapi hapa, cjui ndio Morogoro road ya enzi za Mwinyi, onaa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-566281394.jpg
 
Watu wamepagawa, wanaandika wanafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania tupo mbali sn kwenye usafi na ustaarabu, we angalia wamachinga walivyojaa kipindi kile kabla ya kutolewa alafu juwa kwamba hakuna dust bins sehemu nyingi lkn hukuti uchafu, mtu anazunguka na uchafu wake mpk apate sehemu ya kuutupa lkn co on road km hawa nyani wa Mama Ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dar hukuti uchafu 😂 😂
images(19).jpg
images(22).jpg
images(21).jpg
a9972ccde1a0d9252bf3e1eeb384c876.jpg
 
Ngoja ipigwe lipstick utachoka mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211116-174326.jpg
 
Naomba uweke majina ya hizo roads zote kama una balls, hakuna road safi Kenya na ya kiwango hata moja, ni mauchafu kushoto kulia, naanza na hii outering road a.k.a chinja chinja, angalia picha uliyoweka alafu uhalisia huu hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2013029View attachment 2013030View attachment 2013031View attachment 2013032
Duh sasa pedestrians na cyclists wanapita wapi au ndio mambo ya post independence management [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenya nzima ni maslums kushoto kulia, tazama hapa, over 2.5mil wanaishi maisha ya ngedere[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums94464711.jpg
 
Hizi huwa hawazioneshi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211116-174308.jpg
 
Kenya ni Mavi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211115-164852.jpg
 
Back
Top Bottom