Juu siwezi onyesha yote na ikakuwa clear. Hiyo Masaki Penisnsula na Oysterbay area na Mbezi beach ndio Kidogo kuna miti ila 90% of Dar ni Mabati and concrete jungle. Hata hivo hiyo miti huwezi ukalinganisha na ya Nairobi. Tazama hii video ndio uelewe jinsi Nairobi ilivyo green.
Alafu mambo ya size mbona unataka tuendelee kubishana kama akina
The best 007 ichoboy01 joto la jiwe n.k? Wewe ni mtu ambaye kidogo huwa unajadili kama mtu mwenye akili sasa ukianza ubishi wa kipuuzi unataka nikuchukieje? If you are as educated as you claim unaelewa city size is not the boundaries but the built up area around the city nucleus. Tukisema city ni boundaries basi Naivasha utakuwa mji mkubwa zaidi ya yote East Africa maanake the area within its boundaries is 1600 sq. km which is bigger than Dar. Nairobi County has an area of 696 sq. km but the built up area of the metro extends way beyond that. For instance, the Membley Estate that
nickie posted lies outside the 696 sq. km. Understoond?
Now watch this videos and perhaps you will understand why Nairobi is known as the Green City in the Sun.