Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani mtanganyika anaamini 2.5m people can actually fit in an area measuring just over 2.5 sqkm!!View attachment 2012045

Seems like you even don’t know your house,

Perhaps , it’s not me saying so, studies say so.


IMG_6415.png
 
Hapa hatuengelei bushes dada. We are talking of green species in the city.
I believe you know the role of trees in your environment. You are a human, right ?
Nairobi ikona Karura Forest, Ngong forest, Oloolua Nature trail and an Arboretum. Ebu tuambie Dar ikona nini kama hizi?
 
Cc hatuna mambo ya kishamba km nyie, tuna miradi mingi kuliko nchi yoyote East and Central Africa na haturingi.

Tuna SGR

Tuna BRT

Tunajenga bwawa kubwa la umeme

Tuna cable stayed bridges

Tuna ujenzi wa ferries

Tuna ujenzi wa big ship

Tunanunua ndege on cash basis

Tunajenga modern flyovers

Tunakarabati reli ya Tazara

Tunakarabati reli ya kati

Tunajenga fukwe

Tunajenga smelters

Tunakarabati Ports

Tunajenga modern airports

Tunajenga modern tarmac Roads

Tunanunua military equipments za kisasa sio used.

Tunajenga masoko ya kisasa.

Tunajenga modern bus terminals.

Yani list ni endless lkn vingine huwa hatuwaoneshi mpk vikamilike, na hata vikikamilika huwa tunaonesha mara chache tu tunapotezea cz cc co washamba km nyie, na usisahau 90% ya hyo miradi ni kwa pesa za ndani.
Pia msisahau tunajenga Dodoma kwa pesa za pia
 
2021 bado unabrag eti munanunua ndege cash. ushamba ni kitu mbaya sana walai.
Hapo umeona ndege tu, ofcz pesa tunayo na ndiyo maana tumenunua on cash, nyie nchi nzima mna ndege 3chakavu cjui pesa za tax payers GoK inapeleka wapi, ooohh nimekumbuka zinaishia kwa mfuko wa Mama Ngina
 
Hakuna battle hapa tunawafariji tu mana wenzetu wanashida mno, kwa mfano sahizi asilimia kubwa ya wakunya tunao battle nao humu hawajala na wapo kwenye ma slums
 
Dar ni kubwa sana ,
Dar zinaingia Nairobi 3 na ushee , I wonder you just crop a section to please your feelings..
Tazama hizi sehemu nyingine za dar zilivyojaa misitu na uoto Wa kijani View attachment 2012085
View attachment 2012086

View attachment 2012088
Juu siwezi onyesha yote na ikakuwa clear. Hiyo Masaki Penisnsula na Oysterbay area na Mbezi beach ndio Kidogo kuna miti ila 90% of Dar ni Mabati and concrete jungle. Hata hivo hiyo miti huwezi ukalinganisha na ya Nairobi. Tazama hii video ndio uelewe jinsi Nairobi ilivyo green.

Alafu mambo ya size mbona unataka tuendelee kubishana kama akina The best 007 ichoboy01 joto la jiwe n.k? Wewe ni mtu ambaye kidogo huwa unajadili kama mtu mwenye akili sasa ukianza ubishi wa kipuuzi unataka nikuchukieje? If you are as educated as you claim unaelewa city size is not the boundaries but the built up area around the city nucleus. Tukisema city ni boundaries basi Naivasha utakuwa mji mkubwa zaidi ya yote East Africa maanake the area within its boundaries is 1600 sq. km which is bigger than Dar. Nairobi County has an area of 696 sq. km but the built up area of the metro extends way beyond that. For instance, the Membley Estate that nickie posted lies outside the 696 sq. km. Understoond?

Now watch this videos and perhaps you will understand why Nairobi is known as the Green City in the Sun.





 
Cc hatuna mambo ya kishamba km nyie, tuna miradi mingi kuliko nchi yoyote East and Central Africa na haturingi.

Tuna SGR

Tuna BRT

Tunajenga bwawa kubwa la umeme

Tuna cable stayed bridges

Tuna ujenzi wa ferries

Tuna ujenzi wa big ship

Tunanunua ndege on cash basis

Tunajenga modern flyovers

Tunakarabati reli ya Tazara

Tunakarabati reli ya kati

Tunajenga fukwe

Tunajenga smelters

Tunakarabati Ports

Tunajenga modern airports

Tunajenga modern tarmac Roads

Tunanunua military equipments za kisasa sio used.

Tunajenga masoko ya kisasa.

Tunajenga modern bus terminals.

Yani list ni endless lkn vingine huwa hatuwaoneshi mpk vikamilike, na hata vikikamilika huwa tunaonesha mara chache tu tunapotezea cz cc co washamba km nyie, na usisahau 90% ya hyo miradi ni kwa pesa za ndani.
Hizo vitu zote umetaja zinapigwa one punch na LAPSSET alone.
 
Wakuu tuanzishe battle ya vijiji tuone kati ya Kenya na Tz ipi imeendelea ili tuone km wanasema kweli kwamba Tz ni the most urbanized country in EA au wanaongopa.
 
Hakuna battle hapa tunawafariji tu mana wenzetu wanashida mno, kwa mfano sahizi asilimia kubwa ya wakunya tunao battle nao humu hawajala na wapo kwenye ma slums

Na tayari washaanza kukinukisha ucgaguzi ndio kwanza bado mwaka mzima,
Death toll will be very high as usual..
Tunawakaribisha kwetu mkiona mambo hayasomeki, tutawajengea kambi za wakimbizi pale Lungalunga, sirari na tarakea
 
Nairobi ikona Karura Forest, Ngong forest, Oloolua Nature trail and an Arboretum. Ebu tuambie Dar ikona nini kama hizi?
Kwani huoni huyo kilaza anaongelea green species😂 😂 😂 😂
Hamaanishi green spaces kama tulivyozoea hapa Nairobi
 
Kwani huoni huyo kilaza anaongelea green species😂 😂 😂 😂
Hamaanishi green spaces kama tulivyozoea hapa Nairobi
Kweli wivu ni kitu mbaya, kumbe wanatamani Dar ikuwe na miti mingi kama Nairobi na venye walikuwa wanasema ni pori?
 
Back
Top Bottom