Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vi estate vyenu havina mvuto, vimekaa hovyo hovyo, vimebanana alafu pia bati zina rangi tofauti tofauti kama zege, nyingine zina kutu typical African estates, no wonder Dar ikaongoza kwenye suala zima la thamani kwenye real estate industry, pia Dom inakuja kumaliza kabisa competition ya real estate, si Nairobi wala Dar itafikia thamani ya real estate za Dom mana ni nzuri, modern na organized.
Hivi hizi hapa ni sii rangi tofauti? Hivi hapa hamna kutu sio? 🤣 🤣 🤣

2.PNG
 
Imagine watu milioni 2.5 kati ya milioni 4 nairobi wanaishi humu halafu wote wanakunya kwa plastic bags ..
Without clean water supply.
unajua sometimes Ng’ombe ana maisha mazuri kuliko binadamu View attachment 2011687
Uzuri sisi tunakubali Nairobi kuna slum na imeoccupy area ndogo sana ya jiji. Nyinyi mnakataa Dar hakuna slum wakati 90% of the city is a slum. 🤣 🤣
 
Mpatie za Membley na Kitengela. Both over 20km from CBD.
Membley ni kama mtaa wao wa kifahari kuliko zote Masaki. The only difference is that Membley haina apartments like Masaki
Membley
images (75).jpeg
images (66).jpeg
images (76).jpeg
images (74).jpeg
images (72).jpeg
images (71).jpeg
images (69).jpeg
images (70).jpeg
images (68).jpeg
images (67).jpeg
images (73).jpeg


And mind you Membley is one of the neighborhoods we rarely mention here

images (68).jpeg
 
Uzuri sisi tunakubali Nairobi kuna slum na imeoccupy area ndogo sana ya jiji. Nyinyi mnakataa Dar hakuna slum wakati 90% of the city is a slum. 🤣 🤣
Yani mtanganyika anaamini 2.5m people can actually fit in an area measuring just over 2.5 sqkm!!
f03d66632af81f060fefcabe0ddbb48f.gif
 
Membley ni kama mtaa wao wa kifahari kuliko zote Masaki. The only difference is that Membley haina apartments like Masaki
MembleyView attachment 2012027View attachment 2012028View attachment 2012029View attachment 2012030View attachment 2012031View attachment 2012041View attachment 2012042View attachment 2012034View attachment 2012035View attachment 2012037View attachment 2012038

And mind you Membley is one of the neighborhoods we rarely mention here

View attachment 2012036
Honestly sioni kama Masaki inaweza fikia Membley. Masaki is poorly planned with mixed and sometimes badly maintained houses. Just watch this video and tell me is Masaki can match Membley. Remember Membley is not even among the top 20 best Estates in Nairobi.

 
But what is these guys obsession with density though? I actually prefer a city with space and trees and many Nairobians complain when trees are cut to pave way for buildings. The most revered parts of Nairobi are actually the areas with least density such as Muthaiga, Karen, Gigiri et al. That Kariakoo thing would be an eyesore elsewhere. These guys have a weird way of understanding city planning.

Nairobi has less trees density when compared to Dar.
Ukiondoa some parts of Dar CBD na Kariakoo ambako miti mingi Ilikatwa kupisha ujenzi Wa majengo, the rest of Dar is full of trees Natural and established ones.
Huku huwezi kata mti without a permit..
Nairobi ni nyika with few acacia trees, A typical African savanna grasslands characterized by short thorny bushes,
Hiyo miti kidogo you tried to establish.
Dar has more trees (natural) than nairobi as a lowland area with well established trees and patches of forests.
 
Kigamboni Bridge imeshikilia rekodi ya daraja refu afrika mashariki na sasa rekodi imevunjwa na Tanzanite bridge,
Mwakani rekodi itavunjwa na Daraja la Kigongo Busisi Mwanza

But Kigamboni bridge remains beautiful View attachment 2011854
View attachment 2011855
View attachment 2011856
View attachment 2011857
View attachment 2011858
View attachment 2011859
View attachment 2011860
Hii ngoma rekodi yake ishavunjwa na Tanzanite cable stayed bridge kwa urefu na uzuri, alafu tunasubiri kigongo Busisi tuone kama itatoshana na Tanzanite bridge, nna uhakika kigongo Busisi itaipiku Tanzanite bridge kwa urefu lkn co uzuri.

Yani hii ligi ya bridges wametususia wenyewe nchi tajiri hapa EA, I bet daraja la kwanza la chini ya bahari Africa litakuwa Tz
 
Alafu put in mind not the whole of Kibera is a slum. Sections such as Ayany can beat any Estate in Dar. Hiyo mimi nilichoka kuargue nao. Wacha waamini chenye wataamini. 🤣 🤣
Ayany primary school, Kibera slum
images (77).jpeg

Typical houses found in Ayany, Kibera slum
25375175_MTI4MC04NTMtOGNjMzVkN2MzMg.jpg
 
Nairobi has less trees density when compared to Dar.
Ukiondoa some parts of Dar CBD na Kariakoo ambako miti mingi Ilikatwa kupisha ujenzi Wa majengo, the rest of Dar is full of trees Natural and established ones.
Huku huwezi kata mti without a permit..
Nairobi ni nyika with few acacia trees, A typical of African savanna grasslands characterized by short thorny bushes,
Hiyo miti kidogo you tried to establish.
Dar has more trees (natural) than nairobi as a lowland area with well established trees and patches of forests.
Don't make me laugh. 🤣 🤣 🤣

1.jpg


and FYI, in Kenya, it's not just in Nairobi, you need a permit to cut trees everywhere. Hii Dar yenu moja hii concrete and mabati jungle ndio unasema ina miti? Hahahaaa

2.PNG
 
Huyo investor ni mkenya bongolala. Unafikiri huku kwetu tunangoja serikali kutufabyia kila kitu jinsi nyingi malazy hufanyiwa? Kisha mkishashindwa mnajaza jiji na uswazi?
Over 99% miradi yote ya Kenya ni foreigners, na kati ya hiyo 90% ni wachina so jiandaeni kisaikolojia

Alafu najiuliza km serikali yenu inashindwa kufanya hata mradi wa km 5 za road pesa za tax payers inapeleka wapi

Yn mama Ngina na familia yake wanakula pesa yote ya nyani.

K = Kula

E = Ela

N = Nyani

Y = Yuko

A = Amezubaa

 
Back
Top Bottom