Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TOP 10 CLEANEST CITIES IN AFRICA 2021

 
Hadi unapost resorts kama suburbs.😂😂😂😂hii bunju ndio ulipost Jana. Kwani Dar hakuna suburbs zingine. Tunaweza amua tukupostie lower kabete, suburb sijawai ona wakenya wakipost hapa hata.
Huyo kumjibu ni kuharibu wakati. Yani video inazungukia kihoteli kimoja na gardens zake mtu anataka alinganishe na Runda.🤣🤣🤣
 
Na bado co bilionea anayeongoza Tz, wapo wengine wanaoongoza kwenye list na ambao wanafanya biashara km ya Azam, nikutajie? Unaweza kuona jinsi gani Tz is the hom of bilionea
Na hao wote, hakuna Mwafrika mweusi. Waarabu na Wahindi tupu.🚮🚮
 
hio ingepelekwa LA for auction, ingetoka 1000fold, yani.. $3B.
tu venye mmasai mshamba sana,..
kama ingepatana na mnigeria.. ama mcongolee.. (stima na maji!!).. ama mm hapa habari ndio hio.. angejua haujui

Most of you don’t know that masai,
That guy is rich and has been mining for years, that’s actually not his first achievement in mining, it actually happened that it was televised.
The masai guy owns several middle scale mines with mining equipments.

And there are hundreds of them spread all over the country many of them engaging in Gold mining..
Ndio maana Tz kuna dollars milionaires wengi twice those of Ke+ Ug + Rwanda + Burundi.
 
tz mna madini nyingi sana, tu vile mnalalia chini ya waba. mme fyatu sana nyie. else mngekua ligi soo

Is okay, Madini hayaozi. Value ya Gold haijawahi kushuka tangu kuumbwa kwa. Dunia, wajukuu wetu watachimba.
FYI: even in those large scale mines it’s less than 15% have been exploited..
Ndio maana pamoja na jpm kuwatingisha wazungu that much they didn’t afford to go away. Instead they agreed with the new terms.
 
Narudia tena huenda hamjaona

TOP 10 CLEANEST CITIES IN AFRICA IN 2021
 
Nairobi ni kijiji cha wawindaji chenye uchafu mwingi, ni miongoni mwa vijiji vichafu zaidi duniani
 
Ile siku Nairobi itaipita Dar kama Dar kwa usafi basi ndio Siku nitaondoka humu cz hyo itamaanisha kwamba hawa wachafu kunuka ni wastaarabu kuliko Watz
 
Kwanza hyo namba 9 yenyewe nashangaa kuwepo Nairobi, mji umejaza ma slums kushoto kulia unakuwaje kwenye hii list? Kweli Africa chafu sn, eti Nairobi nayo ipo kwenye list ya clean cities
 
Mkiambiwa nyinyi ni malazy mnaanza kulalamika. Geza Ulole na joto la jiwe mwaka moja au mbili uliopita tuliwahi kuzungumzia hili jambo la gesi na kulikuwa na mjadala mkali baina yenu. Sasa ona Mozambique na kampuni cha Kiitaliano kinachoitwa Eni wameshamaliza kujenga meli yao ya kuliquefy natural gas na sasa meli hio inang'oa nanga kuja Mozambique. Rais wa South Korea na Rais wa Mozambique walikata utepe. Uzuri wa kiwanda hiki cha kuliquefy gas kimefungwa juu ya meli hio na meli inafungwa baharini mbali na vijana wajinga terrorists. By June next year Mozambique wataanza kuliquefy natural gas.





LoginSign Up
WTI $81.39 +0.63%
Brent $82.70 +0.79%
Gas $5.04 +0.5%

Coral-Sul FLNG Complete, Ready To Set Sail For Mozambique​

by Bojan Lepic
|
Rigzone Staff
Monday, November 15, 2021

Italian energy giant Eni has held the naming and sail away ceremony of the Coral-Sul FLNG, the first floating LNG facility ever to be deployed in the deep waters of the African continent.
The event took place at Samsung Heavy Industries shipyard in Geoje, South Korea, in the presence of the President of the Republic of Mozambique Filipe Jacinto Nyusi, and the President of South Korea Moon Jae-in.
The FLNG, which is part of the Coral South Project, will be now towed and moored at its operating site in the Rovuma basin offshore Mozambique. Production startup is expected in the second half of 2022, and it will contribute to increasing gas availability in a tight market.
Coral South Project achieved Final Investment Decision in 2017, only 36 months after the last appraisal well. FLNG fabrication and construction activities started in 2018 and were completed within budget and on time, despite the pandemic.
During construction, Eni conducted several significant activities in Mozambique, including the ultra-deepwater drilling and completion campaign. Also, the Coral South Project will create more than 800 new jobs during the operation period.
“The Coral Sul FLNG is a world-class feat of engineering, construction know-how, and technology, suited to kick-off the development of Mozambique’s world-class resources. The project fits integrally with and within Eni’s energy transition strategy, as we move towards a decarbonized energy future, in which gas is playing an essential and transitional role,” Stefano Maione, Director of Development, Operations, and Energy Efficiency at Eni, said.
Coral-Sul FLNG has implemented an energy optimization approach with zero flaring during normal operations, use of thermal efficient aero-derivative gas turbines for refrigerant compressors and power generation, use of Dry Low NOx technology to reduce NOx emission, and waste heat recovery systems for gas processing.
As for the Coral Sul FLNG itself, it weighs around 220,000 tons and can accommodate up to 350 people in its eight-story living quarter module. Once the FLNG facility is in place, the installation campaign will begin, including mooring and hook-up operations at a water depth of around 6,500 feet using 20 mooring lines that weigh 9,000 tons in total.
The FLNG treatment and liquefaction installation has a gas liquefaction capacity of 3.4 million tons per year and will put in production 450 billion cubic meters of gas from the giant Coral reservoir, located in the offshore Rovuma Basin.
Area 4 is operated by Mozambique Rovuma Venture, an incorporated joint venture owned by Eni, ExxonMobil, and CNPC which holds a 70 percent interest in the Area 4 exploration and production concession contract.
Galp, KOGAS, and Empresa Nacional de Hidrocarbonetos each hold a 10 percent interest in the concession. Eni is the offshore delegated operator.
To contact the author, email bojan.lepic@rigzone.com
 
Cc hatuna mambo ya kishamba km nyie, tuna miradi mingi kuliko nchi yoyote East and Central Africa na haturingi.

Tuna SGR

Tuna BRT

Tunajenga bwawa kubwa la umeme

Tuna cable stayed bridges

Tuna ujenzi wa ferries

Tuna ujenzi wa big ship

Tunanunua ndege on cash basis

Tunajenga modern flyovers

Tunakarabati reli ya Tazara

Tunakarabati reli ya kati

Tunajenga fukwe

Tunajenga smelters

Tunakarabati Ports

Tunajenga modern airports

Tunajenga modern tarmac Roads

Tunanunua military equipments za kisasa sio used.

Tunajenga masoko ya kisasa.

Tunajenga modern bus terminals.

Yani list ni endless lkn vingine huwa hatuwaoneshi mpk vikamilike, na hata vikikamilika huwa tunaonesha mara chache tu tunapotezea cz cc co washamba km nyie, na usisahau 90% ya hyo miradi ni kwa pesa za ndani.
Sports Arena in Dsm and Dom
 
Back
Top Bottom