Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ni Afghanistan ama ni wapi?
Au hapa
JamiiForums-752958756.jpg
 
Unajfariji sasa. Before even Times Tower was built and Upperhill and Westlands skylines were nonexistent!! Huu ni wa mwaka gani bongolala?
wamefinywa 😂 😂 😂 💪 💪 💪 ., wanateseka sana..,
 
Hatuezi andika kwa mate na wino ipo
View attachment 2011618

1990’s Photograh ,
Dar is changing so fast and as you may be aware we have built Dar from scratch,
Nairobi was better those days as it was well planned and built by colonialists. Nyie mmeiharibu na maslums mobu.

This is 2021 Dar 15kms from cbd
IMG_2897.jpg

IMG_5475.jpg

IMG_3017.jpg
 
Eastlands iko na density na ni kubwa sana kuliko Dar CBD zoote kwa ujumla.,
3000684_2992577_16363741390832.jpg

3000690_2992580_16363743194612.jpg

3000686_2992579_16363742864402.jpg

3000688_2992573_16363739629372.jpg

Hii upuzi naweza kuhesabu jengo moja baada ya nyingine., tazama eti density
3001042_JamiiForums-1090513373.jpg

Nenda mkasemezane na Mombasa mkinywa supu ya pweza kwa mahamri.., nyie ni CBD tu ndio sehemu ya maana.., size yenu mombasa
View attachment 2011598
View attachment 2011600
Vi estate vyenu havina mvuto, vimekaa hovyo hovyo, vimebanana alafu pia bati zina rangi tofauti tofauti kama zege, nyingine zina kutu typical African estates, no wonder Dar ikaongoza kwenye suala zima la thamani kwenye real estate industry, pia Dom inakuja kumaliza kabisa competition ya real estate, si Nairobi wala Dar itafikia thamani ya real estate za Dom mana ni nzuri, modern na organized.
 
Hizi 👇 👇 zenu ndio ziko na mvutio eti?.., 😂 😂 😂 hiyo report tunai challenge mchana peupe with facts
Mitaa ya Tanzania yenye mvutio vimekaa sawa sawa
😂 😂 😂 😂 😂
1636984876915.jpeg

1636985046400.jpeg

1636985092433.jpeg

1636985233616.png
 
Ukiwaambia hivyo wanalia, ila mkuu licha ya kuona Westland, CBD na upper hill in one shot pia hebu angalia hili vundo mkuu, hapa ndipo over 90% ya Wakenya halisi wanaishi, onaa View attachment 2011640

IMG_1798.jpg

Hilo vundo hapo sipati picha Hilo fukuto la harufu *****.
Ukizingatia jamaa sio tu wanategemea vyakula vya misaada, hata maji pia wanategemea misaada
Imagine watu milioni 2.5 kati ya milioni 4 ya wakazi wa nairobi wanaishi humo na kunya kwenye plastic bags .. dah
IMG_6343.png
 
Vi estate vyenu havina mvuto, vimekaa hovyo hovyo, vimebanana alafu pia bati zina rangi tofauti tofauti kama zege, nyingine zina kutu typical African estates, no wonder Dar ikaongoza kwenye suala zima la thamani kwenye real estate industry, pia Dom inakuja kumaliza kabisa competition ya real estate, si Nairobi wala Dar itafikia thamani ya real estate za Dom mana ni nzuri, modern na organized.
eti Dom.., did u know the whole of kenya ni SA pekee ndio mpinzani in subsaharan Africa kwa real estate? ama unapinga?.., nyie bado sana., kama ni zile nyumba 1000 za dom., vitu za ovyo ata huyu dada amejaribu na nyumba zake mia mbili.., mtu binafsi kwa bidii yake.., eti Dom 😂 😂 😂 😂hakuna mji nje ya Dar iko na real estate value zaidi ya Kiambu, Machakos, |Kajiado, Kisumu, Mombasa, Nax Vegaz na Eldoret.., hakuna hata moja...,

Mtu moja tena mwanamke anajenga nyumba za high standard tena ni 200, Serikali ya Tz inajenga 1000 pekee in Dom, mifukara inashangaa shangaa na kufikiria imefika 😂 😂 😂 😂
1636986012587.png

1636986147789.png

1636986278919.png

1636986160664.png

1636986185008.png

Imagine watu milioni 2.5 kati ya milioni 4 nairobi wanaishi humu halafu wote wanakunya kwa plastic bags ..
Without clean water supply.
unajua sometimes Ng’ombe ana maisha mazuri kuliko binadamu View attachment 2011687
Yaani zenu normal ni hovyo sana.., ni kibera mtatumia kujiliwaza humu, hamuna pa kutokea nyinyi., tumewabana kote kote., jiliwaze na Kibera.., video clip hiyo hapa, tafuta kahawa chungu na njugu unywe ukitizama.., mko hovyo kote kote 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom