Mkianza kujenga estates tutakuita uchangie. Sahii tulia ufunzwe.Mm naongelea estate, hapo unavyoona kuna estate umetuma hapo ya Tz? Kwann Wakenya hamna akili?
Mkianza kujenga estates tutakuita uchangie. Sahii tulia ufunzwe.Mm naongelea estate, hapo unavyoona kuna estate umetuma hapo ya Tz? Kwann Wakenya hamna akili?
One small cluster.
Hupendi yale maslumsNinachokipendea miji za Kenya ni planning. Dar kupata sehemu zimepangika hivi utatafuta na microscope












Kenya hakuna county isiyo na slums, na ndani ya counties unapata maslums uncounted kwa slum moja.Sio kibera pekee
Kuna slums nyingi sana Nairobi nzima
Huruma
Dondora
kariobangi
Mathare
Korogocho
The list is endless
View attachment 2011710
Wakenya hamtoenda motoni wallahi nawaambia, hizi shida mnazopata ni jehanam toshaMingi umeweka hapo wamejaza flats kwa wingi, alafu mnadhani mnaijua Nairobi kumbe google tu![]()
![]()
![]()
.., tafuta aerial view one by one ndio ujue Dar yoote ni slum
![]()
![]()
.., yaani nyie ni mifukara wa kiaina, zile sehemu zenye kwetu bado tunazitaja kama slum kwenu ni CBD.,
![]()
![]()
![]()
Kwangware na mitaa yenu ya kawaida tofauti iko wapi? Kwangware hastermac roads, kuna flats na street lights hehehehe
Video clip ya Kawangware na surounding areas..,
Kayole matopeni
Kama hii ni sehemu ya Kayole slums.., ina maana Tz ni slum kuanzia sehemu za CBD kuendelea.,![]()
![]()
![]()















Kwani Slums hamzipendi? Kama hamzipendi mngepambana kuziondoa kuliko sasa hivi mnavyoziacha zinakuwa kuelekea Ikulu.Umempiga kuua akakosa pakutorokea akaanza story za slums kama kawaida![]()
Hakuna quality road kama hii Africa nzima ukitoa SA, niamini mimi.
Pole kaka.., sio makosa yangu Dar kukuwa below Nairobi, ugua pole pole ukingojea SGR...,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu hii umeua, cc tunaweka picha mpya wao wako pale pale, wakileta picha mpya ni ile ya project moja, hii picha umeua mkuu









,One small cluster.
Wewe pastor pia huwa unakunywa pombe?Amenikumbusha ile kitu inaitwa john Walker
Ukiumia niambie nipake mate ili usichubuke wakati naingizaMkianza kujenga estates tutakuita uchangie. Sahii tulia ufunzwe.






Picha nzuri hii. Hakuna picha nyingi nzuri za Dar kama za Nairobi. Ila hii ipo sawa.Huge Cluster indeed. Cheki mzigo huo mkulingwa, daraja refu kuliko yote africa mashariki,
Of course rekodi yake itavunjwa na lile linalojengwa kigongo busisi Mwanza.View attachment 2011805
Kwamba tunavunja rekodi yetu cc wenyewe, alafu mwambie aangalie in the background aone skyline ndefu zaidi East and Central AfricaHuge Cluster indeed. Cheki mzigo huo mkulungwa, daraja refu kuliko yote africa mashariki,
Of course rekodi yake itavunjwa na lile linalojengwa kigongo busisi Mwanza.View attachment 2011805






Ukiumia niambie nipake mate ili usichubuke wakati naingiza
View attachment 2011818View attachment 2011819World Bank values Dar es Salaam’s real estate $2.7 billion more than Nairobi
World Bank has ranked Tanzanian capital Dar es Salaam’s real estate ahead of Nairobi and Addis Ababa in its latest report. According to the report, the econstructionreviewonline.com
Unaongelea picha na co uhalisia au sio.Picha nzuri hii. Hakuna picha nyingi nzuri za Dar kama za Nairobi. Ila hii ipo sawa.
Unataka bati za nyumba zetu ziwe na rangi moja ya kutu kama hizi dreamhouses zenu?Vi estate vyenu havina mvuto, vimekaa hovyo hovyo, vimebanana alafu pia bati zina rangi tofauti tofauti kama zege, nyingine zina kutu typical African estates, no wonder Dar ikaongoza kwenye suala zima la thamani kwenye real estate industry, pia Dom inakuja kumaliza kabisa competition ya real estate, si Nairobi wala Dar itafikia thamani ya real estate za Dom mana ni nzuri, modern na organized.