Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hapana kuna vitu tumezidiana nikimaanisha kuna vitu vipo Tz havipo kenya na kuna vitu vipo Kenya ila Tz havipo ila si kwa masuala ya drone hivyo ni vitu vya kawaida sana,
ishu iko hivi kila nchi inautaratibu wake kwenye upigaji picha kwenye majiji kuna vibali vinahitajika pia photographer wetu hswakuamka kwenye hiyo nyanja ya kupiga picha za miji kwa wingi asilimia kubwa huwa wanafanya photograph kwenye mambo mengine.
Kenya tumewazidi kwenye nini? Na Tanzania mumetuzidi kwenye nini?
 
tenga mda wako kufanya reserch utajua
Sio kwamba sina maoni yangu binafsi. Kila mtu ana maoni yake. Mimi ningependa kujua maoni yako ila kama unaogopa kwamba Watz wenzako watakushambulia ukitaja Kenya imeizidi TZ kwa jambo gani basi nieleze Tanzania inaizidi Kenya kwa jambo gani?
 
kila mtu ana uhutu wa maoni jua hivyo kuwa hatuwezi kufanana kwa klla kitu,vitu hivi tulishavijadili nyuma huko huwa sipendagi kujadili vitu mara mbili mbili kwa kurudia rudia,kuna vingi vyakufanya
 
DAR SGR Station

u.png

t.png

Sio kwamba sina maoni yangu binafsi. Kila mtu ana maoni yake. Mimi ningependa kujua maoni yako ila kama unaogopa kwamba Watz wenzako watakushambulia ukitaja Kenya imeizidi TZ kwa jambo gani basi nieleze Tanzania inaizidi Kenya kwa jambo gani?
First of all, Kisumu inapitwa na Arusha kimaendeleo kwa mbali sana ( kitu ambacho hamtaki kuskia) mji wenu wa tatu kimaendeleo vs mji wetu watatu sisi ni washindi, tunawapiga bao.. kitu kingine kuhusu battle ya DSM vs NAIROBI, Dar Ina kila kitu kiasi kwamba ili muilinganishe na Dar na mji wowote wa kenya ni lazima muhusishe mji zaidi ya mmoja (MOMBASA na NAIROBI).. dar iko na high ways nzuri zenye BRT lanes katikati, while hakuna kitu ka hicho Kenya nzima, DAR Iko na Madaraja marefu mazuri ( cable stay bridges) while lazima muhusishe mombasa na kale kadaraja kamoja kabaya, Dar iko na bandari na beaches nzuri pamoja na hoteli nyingi za kisasa while in Kenya lazima uhusishe miji zaidi ya miwili kushindana na Dar moja, .. kitu pekee ambacho NAIROBI inaishinda Dar ni zile apartments zenu zilizopangwa vizur, na sio kama huku DSM hazipo kabisa lahasha zipo lakini sio kwa wingi kama vyenye zipo uko kwenu NAIROBI, na hiyo ndio battle pekee mnaweza tupiga vibaya humu lakini kwa vitu vingine hamtuwezi,.. sio umeme, sio maji, sio barabara.. nachekaga sana nnavyoona ile picha ya juu ya satellite inayoonyesha eti Kisumu inawaka taa kuliko Mwanza 😂😂, infact Mwanza inawaka taa usiku kuliko hata DSM since MWANZA ni mji ambao upo juu ya mawe hivyo hakuna nyumba haiwashwi taawakati wa usiku ndani ya Mwanza,
 
hakuna mlichotushinda ,mlichotushindia ni hizo photograph mmepiga picha nyingi sana kwenye miji yenu na mnajibrand sana tofauti na hapa Tz ,miji mingi karibia yote haina enough pictures za kushow hata picha za Dar zimeanza kutapakaa kipindi cha karibuni,ukitaka kuamini angalia huu uzi wakati unaanzishwa tulistruggle sana kwa upande wa picha.
Kuna video clip nyingi sana za your major towns mnaziita city., Sio drone, street level, za propaganda etc😂😂😂😂, how do we know Mwanza ain't a city? 😂😂😂, Wacha kujitetea., Dar is the only city na it is around 10-20% city look, around CBD., the rest ni sprawling uswazi., with few meaningful standard estates, average living ni ushago type standards.,
 
First of all, Kisumu inapitwa na Arusha kimaendeleo kwa mbali sana ( kitu ambacho hamtaki kuskia) mji wenu wa tatu kimaendeleo vs mji wetu watatu sisi ni washindi, tunawapiga bao.. kitu kingine kuhusu battle ya DSM vs NAIROBI, Dar Ina kila kitu kiasi kwamba ili muilinganishe na Dar na mji wowote wa kenya ni lazima muhusishe mji zaidi ya mmoja (MOMBASA na NAIROBI).. dar iko na high ways nzuri zenye BRT lanes katikati, while hakuna kitu ka hicho Kenya nzima, DAR Iko na Madaraja marefu mazuri ( cable stay bridges) while lazima muhusishe mombasa na kale kadaraja kamoja kabaya, Dar iko na bandari na beaches nzuri pamoja na hoteli nyingi za kisasa while in Kenya lazima uhusishe miji zaidi ya miwili kushindana na Dar moja, .. kitu pekee ambacho NAIROBI inaishinda Dar ni zile apartments zenu zilizopangwa vizur, na sio kama huku DSM hazipo kabisa lahasha zipo lakini sio kwa wingi kama vyenye zipo uko kwenu NAIROBI, na hiyo ndio battle pekee mnaweza tupiga vibaya humu lakini kwa vitu vingine hamtuwezi,.. sio umeme, sio maji, sio barabara.. nachekaga sana nnavyoona ile picha ya juu ya satellite inayoonyesha eti Kisumu inawaka taa kuliko Mwanza 😂😂, infact Mwanza inawaka taa usiku kuliko hata DSM since MWANZA ni mji ambao upo juu ya mawe hivyo hakuna nyumba haiwashwi taawakati wa usiku ndani ya Mwanza,
Blind patriotism on display hapa., eti roads, sawa dogo😂😂, Mwanza, Arusha, Dodoma not cities.., hapa Kenya tunajaribu kuwaonyesha sio Nairobi pekee, in Tz nje ya Dar mnaishiwa pumzi kabisa, no meaningful development, vipicha ni town centres kwanza angles za kupotosha, ili mjikweze, mchezo wenu ni Dar ambayo kimandeleo ni sehemu ndogo sana pia, tumeichambua kikamilifu, mtapiga picha angles tofauti tu same area or locality., Hapa mgeni kutoka nje ya Tz na Kenya atakuambia wazi wazi which is the most developed city in EAC after visiting both., wewe ni uzalendo unaongea hapa, sentimental attachment to your country clouding objectivity. Ingekua ni ukweli mngedhibitisha kikamilifi sio domo domo. Kenya is above Tz by far hiyo ni jambo gumu kwa Mtanzania kukubali, either ni wivu ama umasikini jeuri tu😂😂😂., So inafika sasa mnajaribu kutumia mapungufu ya Kenya ili kujiliwaza or muonekane eti mko better, bado. You are growing yes, liko wazi and it is most parts of Africa, not Tz or Kenya pekee kama unafuatiliwa kwingine utaona, ila u are not yet there., jikubalini tu, sio dhambi.
 
😂😂😂 Jokes dar Ina highway zipi nzuri?? Brt sawa but in few selected places but in general huwezi compare njia za tz dar na za Nairobi Wacha kuota ukitaka tufanye battle sahii hata nusu haiwezi fika maji sawa munaeza tupiga umeme sahau internet sahau telecommunications sahau, slums sawa tunazo hapo nakubali but pia we have a robust housing system on the side Parks and green spaces pia sahau so bring it on
 
First of all, Kisumu inapitwa na Arusha kimaendeleo kwa mbali sana ( kitu ambacho hamtaki kuskia) mji wenu wa tatu kimaendeleo vs mji wetu watatu sisi ni washindi, tunawapiga bao.. kitu kingine kuhusu battle ya DSM vs NAIROBI, Dar Ina kila kitu kiasi kwamba ili muilinganishe na Dar na mji wowote wa kenya ni lazima muhusishe mji zaidi ya mmoja (MOMBASA na NAIROBI).. dar iko na high ways nzuri zenye BRT lanes katikati, while hakuna kitu ka hicho Kenya nzima, DAR Iko na Madaraja marefu mazuri ( cable stay bridges) while lazima muhusishe mombasa na kale kadaraja kamoja kabaya, Dar iko na bandari na beaches nzuri pamoja na hoteli nyingi za kisasa while in Kenya lazima uhusishe miji zaidi ya miwili kushindana na Dar moja, .. kitu pekee ambacho NAIROBI inaishinda Dar ni zile apartments zenu zilizopangwa vizur, na sio kama huku DSM hazipo kabisa lahasha zipo lakini sio kwa wingi kama vyenye zipo uko kwenu NAIROBI, na hiyo ndio battle pekee mnaweza tupiga vibaya humu lakini kwa vitu vingine hamtuwezi,.. sio umeme, sio maji, sio barabara.. nachekaga sana nnavyoona ile picha ya juu ya satellite inayoonyesha eti Kisumu inawaka taa kuliko Mwanza 😂😂, infact Mwanza inawaka taa usiku kuliko hata DSM since MWANZA ni mji ambao upo juu ya mawe hivyo hakuna nyumba haiwashwi taawakati wa usiku ndani ya Mwanza,
Asante kwa kukubali Nairobi ina apartments nyingi kushinda Dar. Halafu sio ukweli kusema Mwanza inawaka usiku kushinda Dar. Katika hizi nchi zetu za Kiafrika ambazo hazijaendelea, kwa kawaida mji mkuu huwa ni kubwa sana kushinda miji zote zingine kwa jumla. Nadhani nusu ya umeme unaotumika Tanzania unatumika Dar pekee halafu hio nusu nyingine ndio inayotumika mikoani. Vile vile huku Kenya nusu ya umeme unatumika Nairobi pekee kisha hio nusu nyingine inatumika mikoani. Hio ni kweli pia ukilinganisha Lagos na mikoa ya Nigeria. Pia SA unakuta Joburg inatumia umeme mwingi ajabu ukilinganisha na mikoa mingine. Africa imeendelea kwenye miji mikuu pekee, huko kwingine ni bure kabisa.
 
Blind patriotism on display hapa., eti roads, sawa dogo😂😂, Mwanza, Arusha, Dodoma not cities.., hapa Kenya tunajaribu kuwaonyesha sio Nairobi pekee, in Tz nje ya Dar mnaishiwa pumzi kabisa, no meaningful development, vipicha ni town centres kwanza angles za kupotosha, ili mjikweze, mchezo wenu ni Dar ambayo kimandeleo ni sehemu ndogo sana pia, tumeichambua kikamilifu, mtapiga picha angles tofauti tu same area or locality., Hapa mgeni kutoka nje ya Tz na Kenya atakuambia wazi wazi which is the most developed city in EAC after visiting both., wewe ni uzalendo unaongea hapa, sentimental attachment to your country clouding objectivity. Ingekua ni ukweli mngedhibitisha kikamilifi sio domo domo. Kenya is above Tz by far hiyo ni jambo gumu kwa Mtanzania kukubali, either ni wivu ama umasikini jeuri tu😂😂😂., So inafika sasa mnajaribu kutumia mapungufu ya Kenya ili kujiliwaza or muonekane eti mko better, bado. You are growing yes, liko wazi and it is most parts of Africa, not Tz or Kenya pekee kama unafuatiliwa kwingine utaona, ila u are not yet there., jikubalini tu, sio dhambi.
Hivi we jamaa huna kazi. Are you jobless!?, do you think 24/7 watu wapo JF kukujibu wewe.

Tafuta kibarua cha kufanya uwe busy kidogo.
 
Back
Top Bottom