Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miradi imekwama, hatuoni ujenzi wa barabara za mitaani kwa ss, vi flyover viwili tu cha pale Chang'ombe na uhasibu vinatusumbua kweli kweli, vimesimama, SGR mpk ss sielewi kinachoendelea yn sielewi kabisa, ngoja tuone hawa wanaosema mama yuko vzr huenda wana siri ya uzuri wake kiutendaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Miradi haijasimama mfano sgr hiki kipande cha pugu hadi stesheni mambo yamechanganya mbaya...
Uongozi umebadilika lazima tukubali lasivyo tutapoteana humu...
Raisi kusafiri nadhani sisi tusubiri takwimu tu ya vitu alivyofanya 2025 ....tutampima kaa aliyofanya
 
Eastleigh CBD number five
Screenshot_20211006-211917.jpg
Screenshot_20211006-211828.jpg
 
Battle imeenda break kwa heshima ya Taifa Stars, leo natakia Tanzania Taifa Stars ushindi, Tz mko na chance ya kuingia second round na kufaulu., watani fikeni world cup tafadhali, naomba Kenya tuachie Uganda wajaribu kufika ila sio rahisi, sisi we are technically out.
Lazima ni watch hii mechi ya Tz live, am behind Taifa Stars.., mfike world cup #TZinQatar
View attachment 2006887
tumezingua mpila tumeutawala ila hatuna straiker wakuscore kwa upande wa umaliziaji,kisoccer bado tupo nyuma sema tunajitutumua tu,hatuna misingi mizuri ya kuwaandaa wachezaji tunasafari ndefu
 
Inasikitisha sana, lkn kuna wadau humu Jamii Forums wanaunga mkono, ss cjui wako serious au ndio unafki wa mtu mweusi. Mama hakai akatulia daily yupo hewani, ni zaidi ya Kikwete kwakweli, anapokuwa anatoka toka ajue kabisa huku nyuma watu wanagawana chao mapema, na jinsi mama alivyokuwa careless wallahi watu watavuna sn safari hii, huko serikalini watu watagawana kazi watakavyo, tutafanyaje sasa. Mafisadi na mapapa huu ndio muda wao muafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata hii battle siku izi imepoa ila basi tu
 
Don YF unapoambiwa Mwanza ni jiji kubwa sio kama tunaiteatea .. hakuna tu wapiga picha wazuri tz ndio kitu mnatuzidi, but honestly sidhani kama Mombasa haiizidi Mwanza kiivyo unavyotaka.. hakuna maajabu yoyote hapo MOMBASA ya kusumbua Mwanza mzee
huo ndiyo ukweli,wao wapo vizuri sana kwa kupiga mapicha kwa wingi kwa city zao
 
Miradi haijasimama mfano sgr hiki kipande cha pugu hadi stesheni mambo yamechanganya mbaya...
Uongozi umebadilika lazima tukubali lasivyo tutapoteana humu...
Raisi kusafiri nadhani sisi tusubiri takwimu tu ya vitu alivyofanya 2025 ....tutampima kaa aliyofanya

rais wa nchi anaenda kutembea mji mpya wa nchi nyingine.. ina faida gan kwa nchi yetu?
afu yupo submissive sana.. kwann asitulie home tu? kama ishu ni mikopo.. mbona jpm mikopo yote ya sgr, jnhpp, ring roads dodoma.. airport..jpm bridge..selander bridge.. zote kapata akiwa ndan ya nchi.. hakuna haja ya kusafiri kujenga hio diplomasia.. mabalozi ndo kazi zao huko nje.. bas ikishindana aende waziri..
 
Anaweza asiende na bado mambo yakawa magumu...Jpm alikua na uwezo wake binafsi
 
Back
Top Bottom