Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BOT

MTWARA

249843926_572959387348582_3423845460610724651_n.jpg

249262549_3683276111897931_8647545206021084883_n.jpg
 
Wakiona picha za hii miradi huwa wanastuka kweli kweli, wanaona ile time ndio imefika rasmi, mm nawaambia ile time bado kidogo tulieni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu mradi ni kifinyo kwa nchi zilizo tuzunguka.

Ili nchi iendelee inahitaji umeme wa uhakika na wa kutosha.
 
Sisi mpira hatujui, kwakifupi cc michezo kama taifa hamna kitu, tupo vizuri kwenye mpira ngazi ya clubs kwasababu tuna pesa tumenunua wageni lkn cc mpira na michezo kwa ujumla hatutakuja kutoboa, hatufundishiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeamua kutuvua nguo ugenini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umeamua kutuvua nguo ugenini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hii kauli huwa naisema hapa daily na naiishi hii kauli, tuna kila kitu, tuna viwanja vizuri,tuna ligi nzuri, tuna Amani, wachezaji wanaishi mazingira ya kitajiri, lkn ndio hivyo tena Watz hatufundishiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kauli huwa naisema hapa daily na naiishi hii kauli, tuna kila kitu, tuna viwanja vizuri,tuna ligi nzuri, tuna Amani, wachezaji wanaishi mazingira ya kitajiri, lkn ndio hivyo tena Watz hatufundishiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira ukiendeshwa kisiasa matokeo yake ndio hayo.

Kuna haja gani ya kutangaza kuwa team imepewa ma billion. Wakishinda wanataka kujiimarisha kisiasa.

Wachezaji walikuwa down kabisa. Huenda hizo pesa ni maneno tu au zimeliwa na wasiocheza.
Wao wakapewa posho ya laki tano tano.
 
alafu watakuambia Mwanza ni city.., kwanza street level ya hiyo suburb ni vumbi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanzania hukosea wapi, hata dar most of the suburbs ni vumbi tu [emoji23]
 
Back
Top Bottom