joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hili ni tatizo kubwa sanaVasco Dagama
Hili ni tatizo kubwa sanaVasco Dagama
Mkebe wenu umeshaanza kuja Nairobi mara mbili kwa siku? Mbona siwasikii mkilizungumzia hilo jambo?Naona air Tz ikipaa zaidi mpkaby mashabiki vupofu
Mkebe? Kq ndo ina mikebe.Mkebe wenu umeshaanza kuja Nairobi mara mbili kwa siku? Mbona siwasikii mkilizungumzia hilo jambo?
hawa je 😂😂😂😂😂
so kenya ni sawa na malawi 😂😂😂😂😂Unatuonyesha picha ya era ya Celtel na sahii tuko kwa Airtel. Bicycles taxis are also common in Kigali, the planning and orderliness in Kisumu and Kigali is top notch. Stop displaying your ignorance.
Kigali
![]()
Quelimane
![]()
NewYork![]()
Malawi![]()
naona unatuonesha another white elephant baada ya SGR 😂😂😂😂😂Wimbo wa Saida Karoli, wenye wivu wajinyonge naudedicate kwa Watanzania wote wenye wivu na Kenya. Tukianza na mkubwa wao ichoboy01 akifuatwa na Venus Star
![]()
![]()
one area 10 pictures au nimedanganya 😂😂😂😂😂😂 mbona old town hupost ama CBD tukaona ushuzi wa nguruweMombasa City..., 💪 🔥 🔥 🔥
View attachment 2005618
View attachment 2005620
View attachment 2005622
View attachment 2005625
hakuna cha kujitetea narudia tena mlichotupita ni mapicha picha tu in reality hamns kitu hapo labda na k8ngine mlichotuzidi ni kwa ufande wa mfumo wa ujenzi wa kujenga estate kwa wingi (hostel camp houses) ni hayo tu vinginevyo hamna kitu hapoKuna video clip nyingi sana za your major towns mnaziita city., Sio drone, street level, za propaganda etc, how do we know Mwanza ain't a city?
, Wacha kujitetea., Dar is the only city na it is around 10-20% city look, around CBD., the rest ni sprawling uswazi., with few meaningful standard estates, average living ni ushago type standards.,
huo ndiyo ukweli ila kwa kupiga good photo kwa kutumia angle nzuri kwenye miji yenu mpo vizuri mmetisha,Asante kwa kukubali Nairobi ina apartments nyingi kushinda Dar. Halafu sio ukweli kusema Mwanza inawaka usiku kushinda Dar. Katika hizi nchi zetu za Kiafrika ambazo hazijaendelea, kwa kawaida mji mkuu huwa ni kubwa sana kushinda miji zote zingine kwa jumla. Nadhani nusu ya umeme unaotumika Tanzania unatumika Dar pekee halafu hio nusu nyingine ndio inayotumika mikoani. Vile vile huku Kenya nusu ya umeme unatumika Nairobi pekee kisha hio nusu nyingine inatumika mikoani. Hio ni kweli pia ukilinganisha Lagos na mikoa ya Nigeria. Pia SA unakuta Joburg inatumia umeme mwingi ajabu ukilinganisha na mikoa mingine. Africa imeendelea kwenye miji mikuu pekee, huko kwingine ni bure kabisa.
angalia ile ratiba tuliyokuonyesha endapo tarehe husika ikifika ndiyo uje kuulizaMkebe wenu umeshaanza kuja Nairobi mara mbili kwa siku? Mbona siwasikii mkilizungumzia hilo jambo?
kuna mjinga mmoja anapost maeneo ya chuda tu sioni akileta ushuzi huu kamili hio ndio CBD ya mombasa ikionekana hapo katikati ya mavi ya kuku
View attachment 2006681View attachment 2006682View attachment 2006683







hii nchi bwana.. full vituko
kenyannews.co.ke
Ni sawa na NewYork that's why we fly there direct. 😁😁so kenya ni sawa na malawi 😂😂😂😂😂