tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
N what is wrong watu kuzaliana? Mashamba tunayo chakula kipo shule bure wacha watu watumie nyeti zao ipasavyo.....kitu cha muhim mtu aangalie uwezo wake ni kuhudumia watt wangapWe already had almost the same population before independence so point yako ya land mass remains invalid. Current birthrate ya Tanzania is higher than Kenya and Ethiopia. Lakini ikifika kwa infant mortality rate munaongoza pia. [emoji23][emoji23][emoji23]munazalisha kama panya ju ya umaskini na kuua kama mende ju ya under development.
View attachment 2005586
View attachment 2005587