Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni sawa na NewYork that's why we fly there direct. 😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kulingana na maneno yako ukimaanisha kenya kutumia taxi baiskeli ni sawa na malawi

na kwa taarifa yako hakuna taxi baiskeli newyork wala hio picha uliopost sio taxi na ukibisha niambie nikuumbue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakenya kujeni muone luxurious and affluent neighborhood. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tanzania is "fool of jokers."

ushaanza kupagawa 🀣🀣🀣 kwamba newyork kuna taxi baiskeli ndivo mama mgina aliwadanganya hvo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kulingana na maneno yako ukimaanisha kenya kutumia taxi baiskeli ni sawa na malawi

na kwa taarifa yako hakuna taxi baiskeli newyork wala hio picha uliopost sio taxi na ukibisha niambie nikuumbue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We mwarabu bandia wacha nikutoe ujinga. Hizo bicycle taxi zinaitwa pedicab in Newyork.
 
one area 10 pictures au nimedanganya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona old town hupost ama CBD tukaona ushuzi wa nguruwe
wewe umeona one area tu., inauma najua lakini vumilia πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
kuna mjinga mmoja anapost maeneo ya chuda tu sioni akileta ushuzi huu kamili hio ndio CBD ya mombasa ikionekana hapo katikati ya mavi ya kuku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2006681View attachment 2006682View attachment 2006683
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hakuna sehemu yeyote yaTudor (chuda) ime postiwa humu., ama kama iko tag nione πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚., CBD sijapost ata nusu yake.., wewe unaleta ka sehemu., picha kwa umbali ili ueneze propaganda mwehu., mombasa lazima ikutese.,una bahati drone views hairuhusiwi Tudor na Nyali., Dar inatolewa kamasi mchana peupe!.., vumilia wacha hasira.,
 
hakuna cha kujitetea narudia tena mlichotupita ni mapicha picha tu in reality hamns kitu hapo labda na k8ngine mlichotuzidi ni kwa ufande wa mfumo wa ujenzi wa kujenga estate kwa wingi (hostel camp houses) ni hayo tu vinginevyo hamna kitu hapo
tembea mzee ojwani
Unaona tofauti ya uchumi., weak economy ndio sababu ya sura ya taifa kufanana mashambani kwa wingi hadi Dar.
 
Hivi we jamaa huna kazi. Are you jobless!?, do you think 24/7 watu wapo JF kukujibu wewe.

Tafuta kibarua cha kufanya uwe busy kidogo.
wewe fukara nenda bebea watu mizigo sokoni., umia pole pole.
 
Mwanza suburbs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vs Kisumu suburbs.
Hii tushamaliza. Kisumu 3 Mwanza 0.
Wacha sasa tuingie CBD.

Mwanza

Screenshot_20211111-111128.png


Screenshot_20211111-110315.png


Screenshot_20211111-110518.png


Kisumu

Screenshot_20211111-112343.png


Screenshot_20211111-112422.png


Screenshot_20211111-112554.png
 
one area 10 pictures au nimedanganya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona old town hupost ama CBD tukaona ushuzi wa nguruwe
Umedanganya tena sana, nenda msikitini uombe dua, dhambi hii, unanisingizia, mimi sio mwehu kama mlivyo nyinyi.., wacha nikuongoze usipotee tena., different areas of kizingo(areas tofauti)., not even CBD.,

Facing part of CBD towards old town..,
2995098_1636546387614.png

Part of Kizingo Area.., facing likoni channel..,
2995100_1636546455230.png

Kizingo area.., central part
2995102_1636546515786.png

Kizingo area., facing towards Likoni ferry direction ya kuelekea port.,
2995105_1636546578650.png
 
Mwanza suburbs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vs Kisumu suburbs.
Hii tushamaliza. Kisumu 3 Mwanza 0.
Wacha sasa tuingie CBD.

Mwanza

View attachment 2006725

View attachment 2006726

View attachment 2006728

Kisumu

View attachment 2006729

View attachment 2006730

View attachment 2006734
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ rudi hapa
Wakenya kujeni muone luxurious and mm nasema hvi akitokea mkenya akanionesha streets na suburbs za adabu kama hzi za mwanza kutoka mombasa au kisumu mm nafunga acc jamii forum πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom