President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Nje ya Dar unamaana gani.kwa upekuzi wangu na research, nadhani arusha ndio mji wa pili tz, nje ya dar
Arusha ni namba
Tatu au Nne
Namba mbili ni Mwanza
Nje ya Dar unamaana gani.kwa upekuzi wangu na research, nadhani arusha ndio mji wa pili tz, nje ya dar
Mzee wa Nakuru. Niambia mji namba mbili hapo Kenya baada ya Nairobi ni Nakuru au Mombasa!?😂😂😂I missed this response, yaani ufukara imekufikisha hapa, can't afford data ya YouTube😂😂😂., hope shughli tu.., unaogopa clip itakutesa vibaya.., almost the whole city is well captured., Dar nje ya CBD haitoshi mboga😂😂😂..,
Huwaoni tena wanatafutana.Arusha...tutaendelea keshoView attachment 2004933View attachment 2004934
Arusha bado sana, can't be compared na Kisumu or Nakuru even Eldoret.., mbona growth ya Arusha iko slow kiasi?.., no substantial change kama vile Kisumu or Nakuru.., Kisumu Leo unaona kiwanja baada ya mwaka ni density, kama Lolwe imekua tu kichaka less than 10 years, now it is a dense residential na bado inajengwa day and night...,Arusha city..picha ya mwisho ni residentialView attachment 2004878View attachment 2004881View attachment 2004882View attachment 2004885View attachment 2004886View attachment 2004888
Kisumu mzee. Hebu wacha mataniArusha bado sana, can't be compared na Kisumu or Nakuru even Eldoret.., mbona growth ya Arusha iko slow kiasi?.., no substantial change kama vile Kisumu or Nakuru.., Kisumu Leo unaona kiwanja baada ya mwaka ni density, kama Lolwe imekua tu kichaka less than 10 years, now it is a dense residential na bado inajengwa day and night...,
9 Hole golf, toa mchezo za PE hapa. 🤣🤣🤣🤣 Plus you were just nominees, you. won nothing kwa hizo awards hata.Siku zingine jifunze ujue dunia inaendaje. Sio kukurupuka tu
View attachment 2004925
Hiyo Mwanza nimeidharau sana, Arusha looks far better😂😂., Mwanza residential balaa, especially upper class kwa matajiri ni vumbi tu😂😂😂😂., afadhali mtu aringe na Arusha kuliko Mwanza, mji una muonekano wa kuchoka, makazi za kishamba, daladala ni muundo za kitambo.., very ugly town mnaita eti ni city! Nani aliwaroga?..,😂😂😂😂Nje ya Dar unamaana gani.
Arusha ni namba
Tatu au Nne
Namba mbili ni Mwanza
Unatuletea sisi makaazi ya kutokea miaka ya moiAre you talking about this!?
View attachment 2003812
Naona imekuingia kwenye mfupa.Hiyo Mwanza nimeidharau sana, Arusha looks far better😂😂., Mwanza residential balaa, especially upper class kwa matajiri ni vumbi tu😂😂😂😂., afadhali mtu aringe na Arusha kuliko Nwanza, mji una muonekano wa kuchoka, makazi za kishamba, daladala ni muundo za kitambo.., very ugly town mnaita eti ni city! Nani aliwaroga?..,😂😂😂😂
So such an old pic ndio Kisumu kwa ujumla hehehehe, fikra za ki mihogo chemsha 😂😂😂😂😂., Ukweli unabakia pale pale.., Mwanza ni mashambani., Nakuru inameza Mwanza na Arusha combined kwa revenue😂😂😂😂.,Kisumu mzee. Hebu wacha matani
View attachment 2004937
Unamaanisha nini by Nairobi second?.., ama mji wa pili baada ya Nairobi?🤔., Kama unamaanisha mji wa pili., Mombasa ndio number 2.., city ya kweli..,Naona imekuingia kwenye mfupa.
Tofauti na hapo Nairobi second ni wapi!?
Kisumu kama kisumuSo such an old pic ndio Kisumu kwa ujumla hehehehe, fikra za ki mihogo chemsha 😂😂😂😂😂., Ukweli unabakia pale pale.., Mwanza ni mashambani., Nakuru inameza Mwanza na Arusha combined kwa revenue😂😂😂😂.,
Unataka tuanze kuzungushana swali rahi hivi!?Unamaanisha nini by Nairobi second?.., ama mji wa pili baada ya Nairobi?🤔., Kama unamaanisha mji wa pili., Mombasa ndio number 2.., city ya kweli..,
Hebu na wewe neda kale Flying toilet huko.Venus Star unatuonyesha nomination nikama mlishinda. Huna hata aibu. 🤣🤣🤣
Kenya is among the 5 countries in Africa with National awards. TZ bado iko kwa category ya amateurs.
View attachment 2004954
View attachment 2004955
We are talking about Mombasa tunaanzia juu tunashuka mpaka chiniVenus Star unatuonyesha nomination nikama mlishinda. Huna hata aibu. 🤣🤣🤣
Kenya is among the 5 countries in Africa with National awards. TZ bado iko kwa category ya amateurs.
View attachment 2004954
View attachment 2004955
Which year, nimekua Kisumu this year sioni hizi baiskeli as displayed kwa hii picha yako, boda Bora ya piki piki ndio sana, na sioni kosa kubeba watu kwa baiskeli, kisumu ni jirani ya Uganda so borrowed a leaf, even though, bado iko juu ya Mwanza na Arusha in many ways., hapa haukwepi na vijisababu, Sikuleta malls, Airport na frequency of flights per day., residentials zote etc., yaani Kenya iko 20 plus years ahead of Danganyika.,😂😂😂😂., facts are screaming, mnatushindia tu domo domo., kupingana bila facts na kukurupuka ovyo ovyo bila kufanya utafiti mwafaka..poleni sana, mnanyooka tu kwa lazima😜😜😂😂.,Kisumu kama kisumu
View attachment 2004951
Kojoa ulale u are such an idiot indeed😂😂😂😂😂 ikija Mombasa, in Tz Dar inaishindia tu three towers, bridges na ka BRT unaniambia nini wewe😂😂😂😂., Tanzania nchi ya city moja tu😂😂😂😂.,Unataka tuanze kuzungushana swali rahi hivi!?
Mombasa ndio Namba 2.
Can you compete with Unguja!?
Takataka kama hizi zinapatikana Mombasa tuKojoa ulale u are such an idiot indeed😂😂😂😂😂 ikija Mombasa, in Tz Dar inaishindia tu three towers, bridges na ka BRT unaniambia nini wewe😂😂😂😂., Tanzania nchi ya city moja tu😂😂😂😂.,