Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna na haitakuwepo shida ya maji Dar, mara ya mwisho kuona shida ya maji Dar ni enzi za Mkapa nikiwa kijana mdogo, huku raia tunauziana maji wenyewe kwa wenyewe, yn mtu anachimba kisima kwa kampuni za uchimbaji zen maji safi yanatoka anauzia raia wenzake kwa bei nafuu, kwa mfano hapa hom kuna bomba ambapo bill haizidi tsh 10k per month sawa na 430ksh per month. Hao dawasa asilimia kubwa wanauza maji kwa middle class areas na hata hivyo maji hayakatiki kindezi ndezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa ipo kila mahali Tanzania, just the sane way umasikini pia ipo kila mahali. Levels za hizo vitu mbili ndio zinadifer from one area to another. Try to reason for once. You can't be stupid January to December
And that[emoji1369]is your best response[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Rich neighborhoods in dar es Salaam zinajazwa na mansions tu sio manyumba ya apartments za kupangisha kama huko kwenu,
Kwa level ya mtanzania Eastlands ni rich neighborhoods ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., Bado sijaleta rich neighborhoods, unashangaa shangaa.., make youtube your friend wacha kukurupuka tu ovyo ovyo.., yaani nilipost estates za Eastlands, mtaa za kawaida sana, unajibu na rich neighborhoods ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., hakuna such magnitude in Dar Kabul salaam.., ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tuonyeshe yenu yenye quality apartments. Mnaumia sana every time you remember that dreamhouses is all you got in Dar. It must be so painful
Hujawai acha kujipiga kifua , ikiwa ni ujinga imejaa kichwani mwako, ni mara ngapi visani vyenu vinalia aviruhusiwi kupanga kweny quality apartment( kaligraphi), means fukara kama nyie kwenu ni kibera na mathare na mko apa kujifanya mnaishi vyema jinga kabisa nyie
 

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unakataa wazungu kumiliki viwanda, mashamba, ranches, na makampuni mengi hapo Kenya?
 
Wewe ni kilaza kweli, showing left right and centre, camera was panning mdogo mdogo, unaeza ukaona sehemu is repeated but buildings on its left or right now zingine not on previous clip, Eastlands area haina mpinzani in Africa kwasababu pale ndani Kuna two estates categorized as one of the biggest estates in Africa, so jumuisha na zote,.., na bado sijaweka yote, hapa no camera rotation.., ingia YouTube, type Eastlands Nairobi watch the clip pole pole usiwe na haraka.., mbona tuandike kwa mate na wino upo?.., be my guest, Mimi sio mwehu kama wewe na wenzako, kujikweza kweza tu na mko below, hadi raha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Porojo tena kwa mpigo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, in the world of economics, globally, iwe marekani ama Asia or Africa, inasemekana less than 10% control the means of production of any economy, so in Tanzania mahali mnajidai eti inclusive economy( of which ni kwa makaratasi tu), mbona nyie ni mifukara hivyo? Tazama standards average of living in Dar! Mko hovyo zaidi ya Kenya ndio maana omba omba wanakimbia huku, hamuna za kuwapea, mikono mitupu haulambwi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, tazama makazi ya kawaida pale Dar!., yaani ni nyumba za ovyo kila kona, a display of poverty. Black South Africans are far better, majority live well on average than Mtanzania wa kawaida, huwezi kunidanganya wewe, just because Kuna slums na issues kadhaa, wale fukara SA ni wachache ukilinganisha na mifukara wa Tanzania, wacha kutubeba ujinga, black south Africans on average are far better than Tanzanians.., hii porojo peleka vijiweni wacha ujinga wewe.., eti Mtanzania mweusi anashinda a black south African, idiot, go to SA or get the statistics, hapa sio vijiweni ama platform ya CCM ya kueneza porojo, tunaumbua ujinga wenu hapa., mko hovyo sana!
 
Umeandika essay ndefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ