Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nipe sababu ya kushindwa kwa kila aina ya vita kwa kutegemea aina ya vita?
Civil war ni ngumu sana kwa sababu kwanza mnagawana uwezo wa kijeshi pia mnapigana kwa taadhari ya hali ya juu zaidi kuhofia kualibu miundombinu

in case of Ethiopia hao Tigray ndio walikuwa wameshika vyeo vya juu zaidi jeshini ni sawa kama tanzania ingepigana vita na wakurya miaka ya 2000s kurudi nyuma
 
watanzania mnakuwanga wapumbavu sana nyie! yaani kila siku ni masingizio ya ki-jinga, oohh waKenya mnatoa parachichi tanzania; ooh Uganda wanatoa kahawa tanzania! mbona nyinyi msi-export mazao yenyu wenyewe?? Inamaana hamna akili kazi yenyu ni kuliwa tu na umbea.
Kahawa ni zao la pili linaloipatia Tanzania pesa za kigeni, hiyo ni pamoja na kwamba kahawa nyingi pia inakwenda Uganda kwa kutumia njia za panya, "we are giant in East Africa".
 
Utamaduni wa Tanzania ni masoko sio malls, masoko mijini na magulio vijijini, sisi Mambo ya malls hatuthamini Sana kwasababu mara nyingi hakuna fresh food na products nyingi ni imported, malls zinalenga zaidi high and middle classes while markets ni kwa ajili ya lower and middle classes ambao ndio makundi makubwa makubwa hapa Africa
Your economy is an informal one kijana, kubali yaishe. You can use all the adjectives available in the world to sugarcoat it but the truth will never change. Alafu unasema hakuna fresh produce in supermarkets? Which part of the world do you live in? Step out of Dar is slum ujue yanayoendelea nje ya hicho kijiji chenu. Naivas Supermarket has stores dedicated purely for grocery ( fruits and vegetables) so wewe unaongea kuhusu kitu hujui

On the same note, nearly all the major supermakets in Kenya have fresh produce sections where you can buy anything from a tomato to cabbage to dhania

Lastly, thanks for confirming that malls are for high and middle classes. This only confirms what we've been saying here all along and which you have always disputed - that Nairobi's middle-class is the biggest in the region.
 
Mzee hii formal economy ndio inanitia kinyaa kila siku.
Screenshot_20211107-074735.png
 
Alaa!! Kumbe kakubali bhn, nilikuwa sijaona, ndo mana huwa nasema Wakenya hamna akili, yn kwenye njaa hakuna umaskini ila pasipo na njaa kuna umaskini, leo Kakubali ila kwasababu hawana akili kesho atakuja tena na kigazeti [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211108-192657.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom