Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
Huyu mama sijui walimtoa wap yaniWapumbavu sana awa kenge barabara ya njia 8 imekwama hakuna kinacho endelea HABARI YA CHINI YA KAPETI ZINASEMA SERIKALI IMEPATANA KWA SIRI NA MAKAMPUNI YA SIMU KUONGEZA GHARAMA ZA INTERNET ILI KUPATA FEDHA BAADA YA TOZO KUSHINDWA KUTOKANA NA WATU KUBADILI NJIA YA KUTUMA NA KUWEKA PESA ,,,,HIVYO KIKAO KIKAFANYIKA KUTAFUTA POINT AMBAYO WATZ AWAWEZI KUKWEPA KUITUMIA KWA URAHISI NDIPO WAKAPANDISHA MABANDO YA SIMU .
tuliona pure vision ndani ya week tu . kuzuia sherehe za kitaifa na pesa kwenda kujengea barabara.raisi kuingia majalalani yeye mwenyewe kuzoa uchafu.kufuatilia miradi bampa to bampa huyu mama alikuta mambo mengi yamenyoka tulitegemea yeye aweze kwenda kwa kasi zaidi kinyume chake ujambazi umeongezeka mara10 ajali za barabarani zimeongezeka mara 3 namengine mengi
I don't trust that guy at ALL. Let's not get hype$30b Investment coming
Did you know Eastlands ni kubwa, pana and more dense kuliko Nairobi CBD na pia Dar CBD yote!...,SOUTH B
Yaani unchukua data Jumia iliyofukuzwa TZ?Hawataki kuskia ukweli lakini hizi hapa bei za unga wa ngano.
TZ Azam wheat flour 2kg= Ksh 191
Kenya EXE wheat flour 2kg = Ksh 142
Kenya GDP per Capita PPP = 4926 International dollars
Tanzania GDP per Capita PPP = 2821 international dollars.
Nowonder retail industry yenu ni ndogo sana.
View attachment 2002173
View attachment 2002255
Dah hivi Uganda inaipita vipi Bongo Kwa kulima Kahawa? Hii sio poa kabisa.
so tuseme 60 to 70% idadi hii ni nguruwe sio binaadamu πππππDid you know Eastlands ni kubwa, pana and more dense kuliko Nairobi CBD na pia Dar CBD yote!...,
Maeneo tofauti ya Eastlando...where 60% of Nairobi lives.,
View attachment 2003095
View attachment 2003090
View attachment 2003091
View attachment 2003093
View attachment 2003094
View attachment 2003097
View attachment 2003096
Data ya Kenya ndio ya Jumia, Kenya tumetambua hizo online service apps na Jumia is doing great.Yaani unchukua data Jumia iliyofukuzwa TZ?
Tupatie data ya 2021 tuone.so tuseme 60 to 70% idadi hii ni nguruwe sio binaadamu πππππ
View attachment 2003127
Tunaangalia uhakika wa mambo sio information uchwara.., kama kusema eti 2.5 million people wanaishi Kibera slums hiyo itakua 50% ya population ya nairobi yote in Kibera, which is in southern part of Nairobi(Southlands) π π π , such organizations don't do ground work they pick data from internet to augment their report, even unverified data wanatumia tu π .., π π π π π .., mimi nakupea facts sio porojo.., mambo kwa ground..., ukweli utabaki, Eastlands is far bigger than Dar CBD yooote! huu ukweli najua utakuuma sana, haupendi kuuskia! π π π π πso tuseme 60 to 70% idadi hii ni nguruwe sio binaadamu πππππ
View attachment 2003127
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1] jamaa kajichanganya huyo we muenjoy tuso tuseme 60 to 70% idadi hii ni nguruwe sio binaadamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2003127
Huyo anaumia, aamini Eastlands is far bigger than Dar-Kabul-Salaam CBD π π π ., I know how to critic and challenge reports with concrete data.., some report I read eti over 70% of Dar residents are living in informal settlements of that 75% is unemployed, na kuna yenye ilikua inasema eti 90% ya Dar residents live on less than a dollar., hiyo I didn't buy, I once posted here some time back..,ichoboy01 haja yake nikujaribu kuikweza Tz ama kudhalilisha kenya ili Tz ionekane nafuu lakini wapi..,ukweli inamtesaga sana, mwarabu hapendi ukweli π π π πTupatie data ya 2021 tuone.