dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Nakumbuka Tony254 alitaka kuwavua nguo wakunya wenzake. WalimuudhiAliwahi kuwapa ukweli wakunya wenzie wakamshambulia sn, akawa provoked akawatisha kwamba wakiendelea ataweka hadharani uozo uliopo Kenya ambao Watz hatuujui, wakunya waliogopa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kipindi bei ya sukari imekua juu haikuwahi kufika hii bei kwenye common markets, sukari ni. 2000 acha kuweka unrealistic price tags to suit your egoAngalia metrics za PPP uone KSH ikona strong purchasing power than TZS.
Sukari 1kg ni almost bei ya 2kg hapa Kenya na hio yenu ni brown sugar.
Kenya 2Kg = ksh215
TZ 1kg = ksh182.
View attachment 2001907
View attachment 2001909
la mchele kila mmoja anawake ndaniKwa hapa Dar mchele wa grade ya chini kabisa 1100 wa grade ya juu ni 2100 na hapo bado hujaenda mikoani bei ni kama bure hukoo
Dah! Kwani sukari ni bei ghali vipi huko Tanzania? Hii imenishangaza.Angalia metrics za PPP uone KSH ikona strong purchasing power than TZS.
Sukari 1kg ni almost bei ya 2kg hapa Kenya na hio yenu ni brown sugar.
Kenya 2Kg = ksh215
TZ 1kg = ksh182.
View attachment 2001907
View attachment 2001909
Nilifikiri wanajenga msingi wa
Because our purchasing power is big, we can afford this, don't worry,,,[emoji23][emoji23]Dah! Kwani sukari ni bei ghali vipi huko Tanzania? Hii imenishangaza.
Enda supermarket upige pichaHata kipindi bei ya sukari imekua juu haikuwahi kufika hii bei kwenye common markets, sukari ni. 2000 acha kuweka unrealistic price tags to suit your ego
Bunge lataka Watumiaji wa Daraja Tanzanite (Selander) Walipie
Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender). ======== Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru...www.jamiiforums.com
sisi wakigoma hamna duka
la mchele kila mmoja anawake ndani
Kukunya pakeji komora096 Tony254Maziwa 500ml processed in your own country mnauziwa ksh72 while Kenya haipiti shilingi 50. The cost of production is high in your country na bado mkona a big deficit, so you have to import to bridge the gap. The government can only increase tax on imported products if you already produce enough in your country.
Grey means no data. StupidTofauti yetu na wao
View attachment 2002160
Stupid mwenyewe.Grey means no data. Stupid