Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi ya city moja unaniambia nini πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., weka zote humu hakuna alie kukataza wewe kilaza, mwaga tu usiogope..,

Povu ruksa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ mwaga yote.., Kenya sio Tz nchi ya city moja πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Tukinyamaza sana kiburi inawaingia danganyikans wanafikiria ni wenzetu.., πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwani hiyo Kisumu inawezana na Arusha.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waaaa kumbe bado munangoja hadi 2025 πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ poleni majirani.

Unaelewa maana ya "decentralize" ?
Sisi tayari tunafanya dialysis kwenye majimbo. Nyinyi mnasubiri hadi 2025? Mpo nyuma sana.
Teyari kuna hospitali nyingi zinazofanya dialysis, mfano Mkapa, Muhimbili nk. Hiyo ya 2025 ni kwa kuongeza huduma kwa hospiutali nyingine, hasa zile mpya zilizogengwa awamu ya 5.
Ungetulia na kufuata mlomlongo wa hoja vizuri, ungeelewa kuwa nilikuwa namjibu tuusan aliyeleta hoja ya economic growth.
 
Ma flyover cheap kama haya ndiyo wanatujengea hapa Chang'ombe, wachina mbwa sn.
Nimemwambia jamaa tushindanishe ARUSHA na Kisumu kwa majengo yenye zaidi ya ghorofa kumi. Mana mchizi anadai sisi tuna city moja, nataka nimuonyeshe kwamba jiji lao la tatu ukishindanisha na jiji letu sie tunaibuka washindi
 
Zote 360 zilishakua setup kwa 54 Renal Units Countrywide. Kama sio mwarabu kuwapea msaada mungekua kwa hali mbaya zaidi.
 
Ndio tunawaambia, Kenya ilisha decentralize. Dialysis inafanywa hadi kwa hospitali za wilaya. Nyie bado munangoja.
 
Ma flyover cheap kama haya ndiyo wanatujengea hapa Chang'ombe, wachina mbwa sn.
Yenu expensive iko wapi...., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ unapata tabu, itabidi umezoea kaka πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚.,
Kisumu City...
completed section.., utanyooka tu.





Ongoing construction...








 
Naona barabara za matofali Kenya ni kitu cha kawaida.🀣🀣🀣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…